PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

.... Ubungo ni eneo la Mjini, upana ulipo pale unatosha sana sema hamjui jinsi ya kuutumia ndio Tatizo linalowasumbua sana. Inaonekana mkiambiwa mjenge barabara Azikiwe hamtaweza kabisa!! maana mtatwambia mnataka mbomoe Mkapa Tower etc; Ila kama kubomoa ndio furaha yenu basi mtwambie huo uzembe uliletwa na nani? na kapewa adhabu gani.

Hapo kwenye red nakuunga mkono kabisa....nenda miji mingi duniani utaona jinsi wanavyoweza kutumia barabara nyembamba efficiently..pedestrians, magari, mabasi na tram zinapita kwenye hiyo hiyo bara bara ambayo ni nyembamba kuliko hizo za Dar na bado accident ni kidogo mno...Pamoja na kuwa am lay in engineering lakini nimeona kwingine na nashangaa hivi mbona viongozi wetu wanasafiri na kuona kwanini hawajifunzi? Barabara zetu za Dar for example ni pana mno na bado matumizi yake limited kwenye magari tu huku pedestrians hawana pa kupita je tukiongeza na tram si ndo tutataka majengo yote yabomolewe?
 
Felister unachosema ni kweli kabisa, India ni mfano mzuri wa barabara nyembamba na ina accomodate watu wengi sana, nchi nyingi za Asia, North America na baadhi ya miji ya kawaida Europe ya zamani wanaishi ki-hivyo

Tatizo la DSM ni kuwa plan za mji ziliishachakachuliwa kuanzia siku nyingi sana

Just Imagine barabara kuu za kwenda city centre zinahesabika, za ni kama nne tu! Morogoro road, bagamoyo, Nyerere na mbagala! nne tu!

Katika hizo Morogoro ndio ina connect na mikoa mingine( yaani moja) japo mpango ni kubadili watumie bagamoyo road na in future kuhamisha hata stendi ya mkoa iende Bunju at least will solve problem ya foleni in town

Feeder roads nyingi sana hazifai kupitisha magari, Ukiwa eneo la jangwani mathalani njia pekee ya kutoka pale ni morogoro road au ushuke kule jangwani ukaitafute kigogo.

My take is that hakuna HAJA YA KUVUNJA JENGO mfano ubungo kama na kama tu kuna kuwa na barabara nyingi za kwenda mjini na kurudi..una option nyingi hapa kuna mawili

1.Barabara pana ya kubeba magari mengi
2.Barabara nyingi lakini nyembamba za kubeba magari kwa kadiri ya uwezo wake

Option ya kwanza inaleta hasara kidogo na ni affordable kwani uvunjivu wa majengo ni kidogo

Option ya pili ni disaster pamoja na watu wengi kuathirika kwa kubomolewa lakini ni gharama kwa serikali kujenga njia mpya

Option ya kwanza inaonekana angalau italeta hasara KIDOGO ILA HAITATATUA SANA TATIZO LA FOLENI kutokana na kasi ya mji kukua bado hazitatosha-No temporary relief!. Plan ni kuhamisha mji, na kuhamasisha wawekezaji kuwekeza nje ya mji wa DSM, just imagine Mlimani City ingekuwa posta....!! just see hoe Sam Nujoma road matches with Mlimani City. Think if another mlimani city-like willlbe somewhere in tegeta, au kimara mwisho au mbagala! etc!

Barabara nyingi kwa mfano India zina flyover fulani za kisanii lakini ziko worth na zinapiga kazi vizuri, ujenzi wa flyover in DSM lazima uta attract ubomoaji na hasa kwenye junctions etc. Ukipiga picha miaka 50 ijayo utaona bado BARABARA hazitoshi kama mji usipohama hapo ulipo! The case is serious in NAIROBI..kuwahi airport lazima uanze safari masaa matatu kabla! hii ni mbaya! hatujaifikia bado nairobi ila tunaenda huko hali ni mbaya, LEO HII NAIROBI WANATAKA KUHAMISHA MJI WAO , kama ilivyo Abuja from Lagos , cha ajabu Nigeria na Kenya wote wanajifunza Tanzania jinsi ya kuhamisha serikali!

Solution in future city ni kujenga subways ambazo ni superior kuliko flyovessr, subway zinapitisha magari, datacables, umeme na sewage system. Ujenzi wa subway kwa DSM ni ndoto kulinganisha na gharama zake.

Kama anavyolalamika Arafat, plan ya mji ilikosewa na siasa ziliingilia kati, at least now we have seen people who think beyond tomorrow! kosa ni kuleta tena siasa hata wakati huu maan tukubali mji wa DSM hauna plan, master plan ilitayarishwa miaka ya 60 na haiku-focus haya mabadiliko. Ukiwauliza serikali wanasema HAUKUTARAJIWA DSM KUWA MJI MKUBWA, WALIFIKIRI TANGA NDIO KUWA KUBWA KULIKO DSM! hata hivyo still hakuna plan za kueleweka kwani professionals watu wa Urban and Rural planners wamekuwa wakiingiliwa na wanasiasa day an night.

Je tunazo barabara nyingi nyembamba??

Lingine linaloweza kusaidia kutopanuliwa kwa barabara ni matumizi ya bahari kwa wanaotoka tegeta na matumizi ya reli ambazo zinawezwa kujengwa kandokando ya barabara, can we do that? do we have leaders that think beyond that? hatuna!

Mfano Sheikh Zayed Road in Dubai ilikuwa planned mwaka 1932, imekamilika mwaka 1980 since then sio rahisi kupanuliwa kwani ilikuwa planned long ago na sasa inatimiza plan zao! sisi HATUNA hizo barabara DSM haikutarajiwa kuwa hivi , kinachofanywa ni zimamoto ambayo ina mazuri na mabaya.

Sheikh_Zayed_Road_04.jpg
Hii ni dubai....how to reach in stage like this?

My take hakuna solution ya kuondoa foleni au kuboresha barabara ambayo haitaendana na kuvunja majengo
 
Waberoya thanks, lakini pamoja na design za ki engineer bado tuna lack planning katika even the use of available resources.....Speed pia ingepunguza congestion kama watu wako trained kuwa wastaarabu....Barabara kuu za kwenda centre zingeboreshwa at that particular width na ku demarket pedestrians ways ili kuruhusu high speed na utoaji wa leseni ungezingatia capacity to drive at high speed at some points....Tatizo la kuacha planning kwa Engineers peke yao ambao wana deal na structures tu bila kuzingatia consumer behaviours and Egonomics fiting to the designed structures...Wenzetu wanafanikiwa kwasababu wanaheshimu multidisciplinarity katika development practice lakini I doubt kama sisi tunazingatia hilo...I have an experience where some structures zimekuwa abandoned hata pamoja na kuwa zina meet all standards lakini zikawa rejected na consumers kwasababu ya location... So you can read how we lack planning katika mambo mengi ndiyo maana mambo yetu mengi ni short term solutions na hazina flexibilties incase of drastic change...

Tusilaumu siasa sana maana yenyewe pia ni muhimu ku lubricate actions za professionals ila pia tukubali sisi decision zetu hazizingati participation ya stakeholders ni too mechanical; akiongea Engineer basi yeye anataka awe final kumbe kuna vitu vingine ni zaidi ya utaalamu wake wa structural design..kuna vitu kama taste za consumers na behaviours n.k ambazo hazijui and so for politician hatujui kufanya team work tumezoea kuwa bosses...
 
I believe we have many people not only leaders that have disputable PhDs, though that we as a country we dont have standard in any level of our education that differentiate one level with another. In other words your topic would be interesting if you can ask what has been done by those who have genuine PhD! I am confidently saying Magufuli's PhD is the best compared to rest in the cabinet or in CCM to be precise.

Wabe,
I always admire your postings but this one you blew it. You obviously contradict yourself by highlighting that there are many fake Ph.Ds within the ranks of our leaders, but when it comes to Magufuli's, with whom you dont seem to know, you dare to punch your chest to defend his questionable degree. I think you lost it here.

It is clear that the time spent by Magufuli to do his Ph.D is unbelivably short especialy if you take into account his other obligations.

We know that it takes a minimum of 3 yrs to finish a Ph.D by a super briliant full time student, who does nothing else than his Ph.D. Then, how come that this Magufuli, whom to my opinion for sure is not super briliant, takes only 3 yrs to finish his?

Moreover, we dont seem to find any publication from his reserch but we hear much about his thesis, much visible stintcts at the cafeteria and his swings at UDSM corridors. These actions seems fake, but if he believes on his Ph.D, let one of his people, as we know that all of them are represented here at JF, give us explanations of this fancy Ph.D.
 
Waberoya, Kwanza Samahani sana kama umehisia kuwa-insulted halikuwa lengo langu hayo maneno unayoona yanaku-insult yametokanan na jinsi ulivyojibu hoja kwa kukurupuka na Jazba! Soma majibu yako katika hoja yangu husika utajua kosa lako lilikuwa wapi, kama umkweli.

Turudi kwenye issue; Mkuu unasema umesoma Civil Engineering mbona unaleta Definitions za Wikipedia hapa; maneno yako hana elements za Engineer bali kama Transporter? hiyo Definition kama ningepewa na Mtu mwenye malori ya mizigo ningemuelewa kidogo lakini kwenye Engineering haimo Mkuu, Kitalaam Kama wewe ni Engineer husije kuongea kama ulivyoonge kuwa one lane road ni muhimu sana kuliko jengo lenye urefu wowote.

Unasema we Engineer ila Mi-kama Engineer na Mtaalam wa Mawasiliano elimu yangu ina kinzana na hoja zako zote ulizotoa, Kama ningekuwa nafanya hiyo kazi nisingefanya kama mnavyofikiria hata kidogo, inaonekana nyie hamjui majibu ya matatizo mengi ya Engineering na mnaanzia kwenye kukalili majibu. Mi nasema hakuna Engineer yeyote aliye Elimika na anaijua Engineering vizuri anaweza kufikiria kuvunja jengo la Tanesco, lau kuwa ni Mwanasiasa, au hajui hiyo engineering vizuri, au hajaelimika vya kutosha. hilo jengo siyo Kontena kuwa limeshushwa kwa crane one day night.

Ingawa ukiambiwa kwenda shule hutaki, sijui kwanini, unadhani elimu ina mwisho? Hizo Definitions za wikipedia, kwa mtaalam siyo, Ubungo ni eneo la Mjini, upana ulipo pale unatosha sana sema hamjui jinsi ya kuutumia ndio Tatizo linalowasumbua sana. Inaonekana mkiambiwa mjenge barabara Azikiwe hamtaweza kabisa!! maana mtatwambia mnataka mbomoe Mkapa Tower etc; Ila kama kubomoa ndio furaha yenu basi mtwambie huo uzembe uliletwa na nani? na kapewa adhabu gani.

Aisee............!!
 
Lete uhalisia unahujua wewe hapa, mimi naona anayefikiria kubomoa lile jengo ndio Mnadharia hasiye jua jibu la jinsi ya kupitisha barabara pale bila kubomoa hilo jengo.

Unalosema ndugu yangu ni la msingi. Ila kama wamedesign plan mpya itakayo kuwa na tija, na wakaangalia jinsi ya kuyakwepa majengo mengine (kama la TANESCO) ikashindikana, basi kuvunja ni moja ya suluhisho. Uvunjaji wa majengo kupishanjia siyo kitu kipya hasa kwa nchi za dunia ya pili, Shanghai unayoiona leo imevunjwa majengo kibao miaka ya 1995 - 2003. Ila naona Mtoto wa Mkulima Pinda amekusikia na kasimamisha ubomoaji wa kupisha njia. But I am not a Civil Eng. by the way
 
........................Tusilaumu siasa sana maana yenyewe pia ni muhimu ku lubricate actions za professionals ila pia tukubali sisi decision zetu hazizingati participation ya stakeholders ni too mechanical; akiongea Engineer basi yeye anataka awe final kumbe kuna vitu vingine ni zaidi ya utaalamu wake wa structural design..kuna vitu kama taste za consumers na behaviours n.k ambazo hazijui and so for politician hatujui kufanya team work tumezoea kuwa bosses.....

Katika watu ambao siwezi kuacha kusoma posts zao wewe ni mmojawapo.................

Excellent point Felister (as usual)............hongera!
 
Kuvunja "lile" Jengo la Tanesco............eti kwa sababu liko kwenye hifadhi ya barabara...........ni UVIVU WA KUFIKIRI................I'm sorry Dr. Magufuli I'm not with you on this..............
 
kama lile halivnjw na nyumba za raia zcvnjwe uko kimara
 
Waberoya thanks, lakini pamoja na design za ki engineer bado tuna lack planning katika even the use of available resources.....Speed pia ingepunguza congestion kama watu wako trained kuwa wastaarabu....Barabara kuu za kwenda centre zingeboreshwa at that particular width na ku demarket pedestrians ways ili kuruhusu high speed na utoaji wa leseni ungezingatia capacity to drive at high speed at some points....Tatizo la kuacha planning kwa Engineers peke yao ambao wana deal na structures tu bila kuzingatia consumer behaviours and Egonomics fiting to the designed structures...Wenzetu wanafanikiwa kwasababu wanaheshimu multidisciplinarity katika development practice lakini I doubt kama sisi tunazingatia hilo...I have an experience where some structures zimekuwa abandoned hata pamoja na kuwa zina meet all standards lakini zikawa rejected na consumers kwasababu ya location... So you can read how we lack planning katika mambo mengi ndiyo maana mambo yetu mengi ni short term solutions na hazina flexibilties incase of drastic change...

Tusilaumu siasa sana maana yenyewe pia ni muhimu ku lubricate actions za professionals ila pia tukubali sisi decision zetu hazizingati participation ya stakeholders ni too mechanical; akiongea Engineer basi yeye anataka awe final kumbe kuna vitu vingine ni zaidi ya utaalamu wake wa structural design..kuna vitu kama taste za consumers na behaviours n.k ambazo hazijui and so for politician hatujui kufanya team work tumezoea kuwa bosses...

Sure Felister I agree with you, we call that coordination of professionals.

However ninavyoona wahandisi kama wahandisi hawazungumzi kama ninavyosema hapa na mimi sijasema kihandisi. Nijuavyo injinia ni mtu wa mwisho kabisa ni mtekelezaji akiambiwa jenga barabara ya laki moja anafanya!

Ukweli decision makers ndio wa kulaumiwa ambao katika hao wahandisi hawapewi nafasi.
 
Wabe,
I always admire your postings but this one you blew it. You obviously contradict yourself by highlighting that there are many fake Ph.Ds within the ranks of our leaders, but when it comes to Magufuli's, with whom you dont seem to know, you dare to punch your chest to defend his questionable degree. I think you lost it here.

It is clear that the time spent by Magufuli to do his Ph.D is unbelivably short especialy if you take into account his other obligations.

We know that it takes a minimum of 3 yrs to finish a Ph.D by a super briliant full time student, who does nothing else than his Ph.D. Then, how come that this Magufuli, whom to my opinion for sure is not super briliant, takes only 3 yrs to finish his?

Moreover, we dont seem to find any publication from his reserch but we hear much about his thesis, much visible stintcts at the cafeteria and his swings at UDSM corridors. These actions seems fake, but if he believes on his Ph.D, let one of his people, as we know that all of them are represented here at JF, give us explanations of this fancy Ph.D.

Thanks for your post, I did not know that I blewed! untile you said so

Kindly answer me the following questions

1. What is PhD
2. Who and where is written that PhD must be minimu of three years and is this standard world wide?
3. Is there any where in this planet people do take PhD in less than three years? where and why?
4. Where does PhD starts in conceived idea? or the monet you register officially in PhD?
5. Is it necessary that all who invent things should be awarded PhDs?
6. Why in many university e.g UDSM in prospectus is clearly stated that you should not submitt PhD within 24 months even if you have finished you will have to wait until 36 months??
7. Who qualifies for PhD??
8. What is standard of super brilliant and kindly in this world of 6 billion people can you give example of just one person?

Kindly, I will need to confirm if I have blewed it my knowing what is PhD!!!
 
Vipi kuhusu akina Dr. Nchimbi? Dr. Shukuru Kawambwa pamoja na Dr. Deodorus Kamara?

Hawa PhD zao nazo vipi?
 
..........not only that but also the rationale he is trying to bring............its very hypothetical.............

Sure Ogah the biggest challenge we have now is how can we widen roads without demolition.

Mr. Ogah what need to be done to improve our roads? you may have best ideas compared to Magufuli and your solution might be impressive, kusema asibomoe na hatutoi solution afanye nini is not fair
 
Wabe,
I always admire your postings but this one you blew it. You obviously contradict yourself by highlighting that there are many fake Ph.Ds within the ranks of our leaders, but when it comes to Magufuli's, with whom you dont seem to know, you dare to punch your chest to defend his questionable degree. I think you lost it here.

It is clear that the time spent by Magufuli to do his Ph.D is unbelivably short especialy if you take into account his other obligations.

We know that it takes a minimum of 3 yrs to finish a Ph.D by a super briliant full time student, who does nothing else than his Ph.D. Then, how come that this Magufuli, whom to my opinion for sure is not super briliant, takes only 3 yrs to finish his?

Moreover, we dont seem to find any publication from his reserch but we hear much about his thesis, much visible stintcts at the cafeteria and his swings at UDSM corridors. These actions seems fake, but if he believes on his Ph.D, let one of his people, as we know that all of them are represented here at JF, give us explanations of this fancy Ph.D.

Ndio maana wengine tukauliza maana ya PhD.

Nchi za mbele pande za Europe kama umecollect data kwa miezi kumi na mbili, ukaweza kupata data zitakaokupa manuscript tatu at least, unapewa PhD hata kama hujafikisha miaka 3! It is the quality that matters zama hizi za sayansi na technologia.

Pia kumbuka kuna wanaofanya laboratory experiments ambazo kwa muda wa miezi mitatu au sita unaweza kuwa umepata data za kupublish paper tano. Muda mwingi unatumika kuanalyse data na kuzidiscuss. Hivyo basi kama umebarikiwa unaweza kuandika paper tano na ukazipublish kwenye peer reviwed journals kwa muda usiozidi miaka mitatu. Sasa usipewe PhD kwa vile tu watu wataquestion muda uliotumia kuipata hiyo PhD? That is a big no.

Quality PhD pia inaweza kupatikana kwa muda wa miaka mitatu au hata chini ya hapo.
 
Bahati mbaya sana, nyie nyote mnaobwabwaja mijineno hakuna mtu mwenye PhD, achilia mbali kuota mnaipata hata siku moja. Huo ni uzembe na nawashauri muache mara moja. Ukiachilia mbali na JK na wana CCM walio na PhD fake, Magufuli ana PhD halali. Wenye maswali kuhusu hilo ni wale wenzetu ambao ukiwauliza watasema bora angekuwa na diploma maana iko juu kuliko PhD! Silly, isn't it?
 
Duh!
Hapo kwenye red font ndo umenimaliza. Hiyo ni ishara ya ushabiki wa ndoa. Yaonekana una ndoa na Magufuli maana hoja ilikuwa pana ikiwahusisha wanasiasa woote pamoja na vyuo vyao.

Kwako wewe tatizo ni Magufuli hata kama wengine wakiondolewa Ph.D, haikupi taabu.

Sasa unatetea kwa pointi za kizembe! PhD inapatikana kwa kula cafeteria na kupiga stori za kianafunzi? takataka!

Nakupa task ili ushabiki ukutoke. Unamfahamu aliyesimamia hiyo Ph.D? Unafahamu sasa hivi yuko wapi?

Ukilazimisha nitakupa mambo ya aibu ya shule hiyo lakini hapa ni kwa wanajamii. Tunataka utu na akili itumike.

Usimuinue mtu bila sababu maana hiyo CV ya magufuli iko wazi kuliko unavyoificha.
Unafahamu Master aliisoma miaka mingapi?

Unapokua umelewa usiwe unatumia JF!
 
Sure Ogah the biggest challenge we have now is how can we widen roads without demolition.

Mr. Ogah what need to be done to improve our roads? you may have best ideas compared to Magufuli and your solution might be impressive, kusema asibomoe na hatutoi solution afanye nini is not fair

Heshima mbele Mkuu Webby..................hili ndilo suala linalotakiwa kujadiliwa
............ widen roads without unnecessary demolition.............

Nafahamu kuwa wewe ni Mhandisi...........mimi ni mtu wa manunuzi.............kutokana na uzoefu wa kujadiliana na kuona kazi zenu wahindisi mara kwa mara....natambua kuwa kuna horizontal na vertical structures........the two can be integrated.....suala hapo ni economics na long term social benefits.........nina imani na wahandisi wetu sana tu.........maproposal yao mengi kuhusu planning infrastructures yako makabatini.............najua solution inaweza kupatikana.....ila someone gotta pay.......obviously........Tanesco atakuwa prime victim........

Mkuu Webby......Road reservation Right of Way is well known to our planners na also kwa Watoa Vibali vya ujenzi wetu............Jengo la Tanesco lilijengwa naamini lilipata kibali.....kwa means gani....kwa kweli sijui............isipokuwa MFUMO tuliokuwa nao uliwafanya na unawafanya law enforcers wetu kuwa na ugumu wa kutekeleza yanayotakiwa..............nitakupa mfano....open spaces nyingi zilivamiwa na Chama Cha Majambazi kwa reason ya ujasiriliamali/ajira.......matokeo yake permanent structures zikaibuka..........na MAHARAMIA WENGINE wakaanza kujenga katika open spaces........surprisingly na "VIBALI" walipata/pewa.......ukiuliza kwa misingi ipi....utapewa kila aina ya sababu......

Karibu na nyumbani Dr. kwa Magufuli kule Muleba kuelekea Biharamulo kuna sehemu barabara imepindishwa kuepuka existing features ambazo zilikuw amuhimu sana kwa wananchi wa kule na mazingira yao............

Dada yangu Felister kazungumzia jambo ni MUHIMU sana hapo juu kuhusu stakeholders particiaption na consent yao kwenye miradi mbali mbali...............

Nilifurahi sana kuona Prof Tibaijuka kapewa Wizara ya Ardhi.............nina imani physical planning na land policy + enforcement itaangaliwa upya na kwa umakini......naamini ulimsikia alipoingia mzigoni............namuomba Prof ashirikiane vizuri na ma Prof wenzake Issa Shivji, Kironde na Mgongo Fimbo.......

Namfahamu sana Dr. Magufuli na utendaji wake wa kazi, huko nyuma alikuwa na washauri wa karibu Mar. Eng. Mujungi (RIP) na Eng. Mfugale......sijui kwa sasa nikina nani walio karibu yake..........

Being mtu wa manunuzi nitakuwa muongo nikisema nina best idea kuhusu barabara
 
Back
Top Bottom