Ukifungua kufuli unaongezewa course work. Rejea mkufunzi wa NITndio maksi gani hizo boss?
Ukifungua kufuli unaongezewa course work. Rejea mkufunzi wa NITndio maksi gani hizo boss?
Kazetela acha ugoro. Vuta hata bhangi itakuongezea nguvu za kulimaWewe ni mpumbavu utamkosoaje asie na akili ilihali upo kitaa gongea buku
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha pombe we jamaaKwani na yeye ni MC?
Kwahiyo kila mchaga ni tajiri?Mxaga ninani?maboya tu axa ukabila mjinga wewe waxaga washamba tu lbda mbege na viduka uswaz ndo wanajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe gani tena? si nimeuliza?Acha pombe we jamaa
uyo soon ananyang'anywaUkiona kazi anafanya mchagga ujue inalipa sana.Wewe kufa na Phd yako mbuzi usichanhamkie besa mtaani.Go my brother MC .Hakuna kazi ndogo wala kubwa duniani.Kuna mwl mmoja alikuwa anafundisha makongo sec alikuwa anaitwa kama sikosei Mr Mbowe akawa nafanya uMC achagui kazi anakusanya fweza sasa hivi anamtaa wake hapo mbezi beach.Kuanzia ukumbi wa kiramuu,shule ya sekkndari nk mtaa karibu mzima kuanzia hapa barabara ya morogoro mpaka karibu na njia ya kuelekea Goba ni vitega uchumi vyake.Sasa kaa hapo na vipepa vyako vya PHD huna hata hela ya kulipa bili unasubiri utukanywe na Jiwe mbele za watu na mshahara wa milion 2m.
Kwa hiyo umefurahi,mwenzio anapiga pesa
Unachokoza watu wewe.Ngoja waje wale jamaa kutoka UDASA mpaka utaomba poooo!!!Ni ukweli usiopingika kuwa PhD (ya kusomea) ndio shahada ya juu kabisa Chuo Kikuu kinaweza kutoa hapa duniani.
Lakini wanazuoni wamehusisha shahada hii na mafanikio ya kifedha.
Dhahiri pia ni kwamba PhD kwa bongo hailipi kutokana na waliopata kusaka fursa za kitaa ikiwemo kuwa Mc wa Kitchen party shughuli ambazo hata Asha Ngedere ambae kaishia darasa la 2 anaifanya kwa ufanisi pia. Sio level za PhD kuwa MC uswazi bali inategemewa PhD kufanya za kutatua matatizo yanayoikabili dunia na si kukimbizana na Kitchen parties kitaa.
Mwandiko wa facebook na immature one!!Mnaharibu Jf.Mxaga ninani?maboya tu axa ukabila mjinga wewe waxaga washamba tu lbda mbege na viduka uswaz ndo wanajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan mnamzungunzia PhD yupi yule hemed au mbn hana k2 mtaani nenda pale Marrybrown M City anashinda hapo daily hana jamboNi ukweli usiopingika kuwa PhD (ya kusomea) ndio shahada ya juu kabisa Chuo Kikuu kinaweza kutoa hapa duniani.