R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,283
- 5,369
Habari za jioni wana jukwaa.
Kama heading hapo juu inavyojieleza wife alienda kupima sukari kwenye pharmacy kwa sababu alikuwa anahisi uchovu wa mwili na kizunguzungu.So jamaa walimpima damu ya malaria ikawa negative wakcheki sukari wakakuta inasoma 20.
Wife akanipigia simu nikiwa kazini kuwa amepima sukari na kipimo kinasoma hivyo nilichnaganyikiwa kwa kweli na yeye pressure ikapanda.
Ikabidi niombe ushauri hapa JF watu wakanishauri niende mbele zaidi kwa ajili ya uchunguzi na tiba.
Nikaenda Hindumandal kwa Dokta Kaushik alivyompima akaikuta 4.5 akasema mbona ya kawaida tu hii wala haina madhara na hapo wife alikuwa hajakula chochote. Sikuamini nikaenda kwa dokta mmoja hivi anaitwa Dokta Abbas anapatikana maeneo ya fire pale tukakuta 5.
My Take : Hospitali zipo kwa ajili ya Uchunguzi na tiba ila pharmacy kwa ajili ya kuuza dawa na ushauri . Kwa majibu yao na vipimo vyao nahisi wangeniulia mke wangu kama ningeanza kutumia dawa zao za sukari.