PGO mwiba kwa maafisa wa Jeshi la Polisi, wanafanya kazi kwa taratibu zipi?

Hatariiii Sana
Kituko cha mwaka daaah wale wasio na vyeo ndiyo bure kabsaa
Yoote hayo ya pgo ni kweli lakini amini nawaambia hayataondoa makosa yanayowahusu watuhumiwa nyie muoneni jaji kama vile Yuko upandw Fulani nachelea kuhisi kuwa mwisho wa kesi upande mmoja utalia na kusaga meno
 
Yoote hayo ya pgo ni kweli lakini amini nawaambia hayataondoa makosa yanayowahusu watuhumiwa nyie muoneni jaji kama vile Yuko upandw Fulani nachelea kuhisi kuwa mwisho wa kesi upande mmoja utalia na kusaga meno
Yote yapi ya PGO?
 
Wakuu, kulingana na mwenendo wa kesi inayoendelea mahakama kuu divisheni ya uhujumu uchumi, tumewashuhudia maafisa wa jeshi la Polisi wakionesha kutoifahamu vizuri PGO, kifaa ambacho wao wanakieleza kama nyenzo muhimu katika kazi zao.

Hii inaleta MASWALI mengi Sana, Ni kiwewe Cha kutoa ushahidi au hawana wanalolifahamu juu ya kile kilichoandikwa kwenye PGO.

Hawa watu wanafanyaje kazi zao bila kuelewa taratibu zinazotakiwa?

Imagine mtu ana cheo Kama RPC zen hajui kinachoendelea kwenye PGO? Wanateuliwa na kupewa vyeo hivyo kwa vigezo gani?

Hii ni aibu kwa Taifa!

___________________________________
Ushauri wangu:

Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani iangalie kwa upya namna Bora ya kuwafundisha maafande waielewe PGO vizuri na kuweka katika matendo kile lilichoelekezwa ndani yake, sio kujificha kwa mgongo wa MAELEKEZO KUTOKA JUU, kumbe wako empty kichwani.
Polisi wenye uwezo hawapewi vyeo

%23JeWajua%0A%0APolice_General_Orders_(PGO)%0A%0ANi_kanuni_za_mwongozo_wa_utendaji_kazi_wa_Jes...jpg
 
Acheni upumbavu raia mabogus ninyi..hivi wewe kama mtanzania halisi unaijua katiba yako full..kifungu hadi kifungu? Hayo ni mapungufu ya kibinadamu tuu,,au ndo kwa vile unawachukia maaskari?
 
Back
Top Bottom