Peugeot 504 kuja kivingine 2026

Peugeot 504 kuja kivingine 2026

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,972
Reaction score
22,027
1751924859232.png

1751924726034.jpg
 
Nazipenda sana gari za Peugeot,hasa postion wanayoweka dashboard zao zinakuwa juu kidogo ya steering,inakuwa haijifichi chini kama gari nyingine.
 
Miaka ya 60 na mwanzoni mwa miaka ya sabini, gari ya mkuu wa mkoa ilikuwa Peugeot 404 kama hii. Hata Dr Kleruu siku alipouwawa na Mwamwindi, alikuwa anaedesha gari kama hii.

1752446750741.png
 
Back
Top Bottom