Jisajili sasa MOI Marathon 2026

Jisajili sasa MOI Marathon 2026

Taasisi ya Mifupa-MOI

Senior Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
118
Reaction score
211
🏃🏽‍♂️JISAJILI SASA Moi Marathon – MOI MARATHON 2026🏃🏽‍♀️

Ungana nasi kuadhimisha Miaka 30 ya MOI na kuchangia matibabu ya watoto 200 wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi.

📅 Tarehe: 25 Oktoba 2026
📍 Mahali: Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
🏅 Mbio: Kilomita 21, 10 na 5
💰 Ada ya usajili: TSh 45,000 tu

Usisubiri nafasi ziishe jisajili sasa ili kuepuka SOLD OUT!

Kila hatua unayopiga inaleta matumaini na kuokoa maisha ya mtoto.

#MOIMarathon2026 #MOI30Years #RunForChildren #Miaka30YaMOI #Hydrocephalus #SpinaBifida
IMG-20260918-WA0074.jpg
 
Unalipa 45,000 unaamka saa kumi namoja asubuhi, unaenda kufukuza upepo kilometa 21 kwa nguvu zako mwemyewe bila malipo yoyote! Ila sisi runners kama vichaa! Baadae naenda kukimbia 10km jioni hii 😀😀
Hivi kunakuaga na mzuka au? Nijaribu mara moja. Ila mimi najijua nitaita bodaboda njiani.
 
Hivi kunakuaga na mzuka au? Nijaribu mara moja. Ila mimi najijua nitaita bodaboda njiani.
Kuna vibe sanaaa. Very addictive. Fanya mazoezi kwanza then kimbia 10km haiwezi kukushinda. Zenye vibe sana ni NBC Dodoma,Kili marathon,CRDB Dar,Selous Morogoro. Hii ya MOI sijawahi kushiriki
 
Kuna vibe sanaaa. Very addictive. Fanya mazoezi kwanza then kimbia 10km haiwezi kukushinda. Zenye vibe sana ni NBC Dodoma,Kili marathon,CRDB Dar,Selous Morogoro. Hii ya MOI sijawahi kushiriki
Ngoja nipige tizi kwanza
 
Back
Top Bottom