Hii miaka30 iliyopita nilikuwa nayo hapo Dar kasheshe kweli dunia yetu Wa Faransa wamesha zisahau sisi bado tunazo?Mkuu Mbuzi Mzee
Hizo ndiyo gari sio hizi za mchina ikipigwa pasi kidogo tu hainyoosheki. Gari kama hiyo ikipigwa pasi na hizi za mchina, mchina atakufa mwenyewe hiyo itaachwa kama ilivyo bhana..