Ungezitaja hizo fursa ili uwasaidie wenzakoKwanini na field yake opportunities ziko nyingi sana!
😂 Pole mkuu unajishughulisha na nini kwa sasa!Boss mimi mwenyewe nimesomea hayo mambo Udsm enzi za Kikwete tukala mkopo 100% plus special faculty ila nimemaliza chuo nikaishia kupata intern sio kazi,nikaungua na mafuta nikakimbilia Bank kwa sasa mafuta sitaki kuyasikia
Wanauzia wapi😳😳😳😳😳😳Wanauza na Simu now
DON nalimisoni kisanduNisaidie.kuwatag mkuu utakuwa umefanya la maana!