Petition: Makonda have to go now

Petition: Makonda have to go now

Neemababy, acha mambo ya copy and paste toka magharibi. Ni watanzania wangapi wanajua petition? Je, umejiuliza kama serikali yako inatambua petition??

Nadhani hata hukufikiria kabla ya kuleta bango lako, it's true Makonda was/is wrong, kuvamia radio/tv station is wrong, tuhuma dhidi yake kuhusu vyeti ni wrong, he needs to come clean, lakini sio kwa vi-petition vyako.
 
Watanzania wanapenda Sana ujinga na huku wapo nyuma kwenye mambo ya maendeleo. Huduma za jamii mbovu Ila wanakalia udaku 24 hours. Awamu hii mmenoa.. Awamu hii ni ya hapa kazi tu. Waliopo site wanaiona kazi ya John pombe Joseph magufuli. Subirini 2025 mchague rais mwingine wa kuwawaongoza Nyinyi kisha Kwa kushirikiana na viongozi wengine washauri achague RC mwingine.. Tatizo mnajazana ujinga kwamba mnaokosoa mko wengi. Sio kweli mko wachache tu watanzania wengi wenye nchi hawana shida na makonda.. Makonda na magufuli wapo sahihi
Serikali nayo inakalia udaku na ushilawadu?

Mara ya mwisho nilisikia serikali ikiahidi kuboresha huduma za jamii na kuwaletea watanzania maendeleo.

Leo hii serikali inajivua jukumu hilo inawatupia na kisha kuwalaumu watanzania.

Na sisi watanzania tulivyo na akili mbovu kama ndege joni hatujifunzi.
 
Hakuna kulala katika kulinda demokrasia ya uhuru wa mawazo na haki ya kujieleza.
Hata kama Idd Amin atamlinda vipi Maliyamungu wake, hatutakata tamaa kupaaza sauti na kukemea uharamia.
 
Nyie angaikeni kuandika huku, ila uraian hapa G/mboto hawana habari.

Ingefaa mpite na vipaza sauti.
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani wewe! Hakuna udaku kwenye habari ambayo matukio mawili ya kufoji vyeti na uvamizi yote yametokea. Ni hasara kubwa kwa Taifa kuwa na mapunguani kama wewe.

Watanzania wanapenda Sana ujinga na huku wapo nyuma kwenye mambo ya maendeleo. Huduma za jamii mbovu Ila wanakalia udaku 24 hours. Awamu hii mmenoa.. Awamu hii ni ya hapa kazi tu. Waliopo site wanaiona kazi ya John pombe Joseph magufuli. Subirini 2025 mchague rais mwingine wa kuwawaongoza Nyinyi kisha Kwa kushirikiana na viongozi wengine washauri achague RC mwingine.. Tatizo mnajazana ujinga kwamba mnaokosoa mko wengi. Sio kweli mko wachache tu watanzania wengi wenye nchi hawana shida na makonda.. Makonda na magufuli wapo sahihi
 
Please, sign in the petition, and share to your friends huyu mtu aachie ofisi ya umma.

To sign the petition, follow the link below.
I just signed the petition: "PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!" Will you join me in supporting this issue? petition: PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!

Hapana naomba usitishe kwanza hii petition.
Tumwache Mkuu wala tusimwingilie kwa sasa, lakini baada ya muda wa miezi 3-6 hivi ndipo tuwachukulie hatua wote wawili.
 
Please, sign in the petition, and share to your friends huyu mtu aachie ofisi ya umma.

To sign the petition, follow the link below.
I just signed the petition: "PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!" Will you join me in supporting this issue? petition: PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!
Mmmh hapa hutupat ng'o ***** partition ndo niweke hom street,phone number,first name na last name mmmmy Watanzania kuwen makin na watu hawa wanaweza kuwa maagent wa bashite wanatumia kivul cha u-unt bashite
 
Vyote hivyo nji optional tuu, usiogope mtoto mzuri, you can sign ur petition withoout filling in those details Youngtozy1992
 
mods msaidieni mwanzisha mada ku-edit title ya thread ili pale kwenye "have" pasomeke "has" .
 
Basis ya hii petition ni kutokana na utendaji kazi wake mbovu ama ni kutokana na tuhuma za mitandaoni?
 
Hii issue ya watu wa Dar kuwa na akili za ajabus ijui itaisha lini.
Likitoka jipya ambalo halina msingi watu wanaruka nalo.
Wanahabari nao wanataka kususa kuandika habari za Makonda,wakati wakiandika wasipoandika mitandao ya kijamii itaandika,na pia TBC na ZBC na vyombo vingine vya habari vitaandika.

Hapa ni mchezo unaochezwa hapa,hii sshue ya clouds ni kamchezo fulani kamepangwa kununua akili za watu,na wamefanikiwa,utasikia kesho tena Makonda anafanya jingine.
Mwisho wa Siku miaka mitano hiyoo,Wabunge waliohamia Dar ku deal na makonda wanarudi kwao hawana Jipya na yeye JIJI kaliweka sawa.

Mwenye tatizo na Makonda aende Mahakamani,Simple tu
Mpuuzi mkubwa kabisa....na wewe unayemtetea mhalifu si uende ukamtetee mahakamani? Kuvamia kituo cha redio kwa mitutu ya bunduki na kupora content za kipindi ndio MAENDELEO anayoleta Bashite? Chicken headed!!!!!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom