Petit Man wakuache

aiseee.....ndiyo maana wadada wakitembea na wazaire wamekwisha habari yao....

hiyo dawa inapatikana na kwa wanawake....(utani)

Ipooo.nenda Kagera au Uganda.Inaitwa shuntama.Utamfukuza mwenyewe!!
 
Lupungu ni dawa wanatumia wazaire.wananyunyiza kwenye uume kama unanyuyiza chumvi kwenye chips.kipigo utakachopata baada ya hapo hutakisahau mpaka unaingia kaburini.ndio maana wazaire wengi wanalelewa mjini kwa mtaji wa Lupungu

kama unayo na mimi nifanyie mpango mkuu
 
Lupungu ni dawa wanatumia wazaire.wananyunyiza kwenye uume kama unanyuyiza chumvi kwenye chips.kipigo utakachopata baada ya hapo hutakisahau mpaka unaingia kaburini.ndio maana wazaire wengi wanalelewa mjini kwa mtaji wa Lupungu

Hiyo Lupumbu ntaipataje bladha?
 
Yule mzaire.kazi yake ni kumuunganisha wema na vibosile.Si unaona BMW lile la wema kahongwa na mzaire.sifa nyingine jamaa ni mtumiaji mzuri sana wa Lupungu hadi dadake rais amedata.Rais aligoma kabisa kumuozesha,lakini dada kasema nisipoolewa na petit najiua..chezea Lupungu wewe
weka picha mkuu,tafadhali
 
Kuna ingine inaitwa putulu, kutoka huko huko Congo DRC!
Ni noma sana hiyo!
 
Yani nimecheka mpaka nahisi watu wa karibu hapa nilipo wananiona chizi..eheee
Kweli petit wakuache. .dogo kala
Madem wengi sana maarufu hapo halafu yeye haongei. .
 
Kwa mashabiki wa Madam Wema Sepetu watakua wanampata vyema huyu kijana. Mwanzoni nilianza kumsikia sana kwenye nyimbo za wasanii kama Dully, Tundaman, ferouz. Hapo nikagundua huyu mtu ni maarufu, ila sasa mwenzenu sielewi umaarufu wake unatokana na nini hapa mjini. Kwa anayemfahamu please anipe details!
petit kiboko yao
dogo wakamue sana..ufanyaje na umebarikiwa
na mwenyezi Mungu. .mdogo ake Dangoti
hasikii haambiwi na sio yeye tu
dogo kwenye kiuno yuko vizuri yani
Hafanyi masihala
 
Promo at work,ohh kiuno sijui ninini! We kiuno cha mtu ulikijuaje kama hajakulala? Just curious to know. . Am soleeee in lulu ' s voice. C.T.U
 
Last edited by a moderator:
[y QUOTE=mimihapauk;11809212]Yani nimecheka mpaka nahisi watu wa karibu hapa nilipo wananiona chizi..eheee
Kweli petit wakuache. .dogo kala
Madem wengi sana maarufu hapo halafu yeye haongei. .

We msifie tu Kama zinaa imekuwa sifa vile..ila yupo Salama lakini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom