LeoKweli,
..huwezi kushinda Uraisi wa Tanzania kwa kutegemea kura za watu wa Kilimanjaro. they just dont make up the numbers.
..kanda ya ziwa ina watu wengi kushinda maeneo mengine ya Tanzania. sasa Kikwete/mtandao kuwa na harakati zaidi ktk kanda ya ziwa ni jambo linaloeleweka kisiasa.
..sasa kama unadai regional politics kama ulivyoziongelea hapa hazimaanishi kwamba zinanufaisha wananchi walio wengi wa regional husika. je kulikuwa na haja gani kuwahusisha wafanyabiashara hao ni maeneo walikotoka? kwanini usiwataje mmoja mmoja tu?
..mimi nadhani huu utaratibu wa kuwaangalia watu kwa makabila yao siyo mzuri sana. hao wafanyabiashara maarufu toka kanda ya ziwa au kilimanjaro make up what percent ya wananchi wa maeneo hayo?
LeoKweli said:Vita ya Ufisadi Inaweza kupigwana vyema kwa kuisafisha CCM. Hivyo watu kama mengi kama wako serious katika hivi vita, Lazima wawe tayari kuongelea CCM Kama chama inavyo encourage Rushwa. Mpaka sasa hatuoni matunda ya upiganaji wa rushwa kwasababu CCM Imenufaika na pesa za Rushwa na wizi huo.
Huwezi kuniambia uchunguzi uliofanyika miaka 2 unafikishwa mahamani bado watu hawaendi jela ?
Kinachonichukiza mimi ni hii drama ya mengi na RA, Inatutoa kwenye mapambano ya rushwa na ufisadi, RA na Mengi they are intrested in their business influence than Vita ya Ufisadi, that why we need to refocus the discussion to tell wananchi kuhusu ufisadi wa viongozi wote wa CCM na sio mmoja.
Usiseme nimetumwa , this is a free forums and people have rights to disagree I am not here just to take postion mimi ni more pragmatic than you think.
You see kumbe wewe Uko upande wa Mengi, Mimi Niko neutral I am trying to analyse the truth and you have an option to agree or disagree with me.
Kama mengi Yuko serious na Vita ya Ufisadi kwanini asiseme CCM ni mafisadi. He has his own intrest that why he is talking about Ufisadi.
Kumbuka ITV imeisadia sana CCM, and the main benefiery of Pesa za Uchaguzi is mengi as well through ITV Unatufanya hatujui hilo.Radio One ETC
Ukiangalia UpandE mwingine watu Kama kina NJAKE wameingizwa kwenye EPA kutokana na CCM kuchukua mafuta Bure kule maeneo ya Moshi, Arusha, Mara, therfore njia ya kumlipa Njake ambaye alikuwa mfanyabiashara mzuri tu kabla hajaingia mkenge wa CCM Ilikuwa ni EPA.
Mengi alikuwa ni secndary benefiary wa EPA through ITV , Nivipindi vingapi ITV na Radio one ilivifanya wakati wa Uchaguzi na ndio maana hawezi kuiita CCM mafisadi kwasababu he is fighting for his postioning and not for Watanzania, based on the facts Watanzania wote tunafahamu vyombo vya habari vya mengi vilikuwa bias tu CCM
RA kamavictim wengine wa EPAalikuwa just a facilitator but the bottomline is the CCM Election Finance ndio chanzo cha ufisadi wote.
Therefore its ingenuine to claim kwamba just certain people are Fisadi, the Fact ni kwmaba CCM should be held accountable
Mkuu LeoKweli, sidhani kuwa unataka tuamini kuwa Mengi ni mzembe kiasi cha kuamua kusema CCM yote ni mafisadi. Hayo tuseme sisi tu hapa (kama tunataka).
Mengi ni muumini wa CCM. Na kama mtu yeyote mwenye akili nzuri ana imani kuwa ndani ya CCM kuna watu wenye akili, nia na uwezo wa kuleta tija kwa Taifa. Japokuwa pia anajua ndani ya CCM wapo mafisadi. Ama kwa kauli nyingine, baadhi ya mafisadi pia ni viongozi wa CCM.
Vita vyake na ufisadi hajavihusisha na chama chochote cha kisiasa (at least up to now). Ameweza kuweka bayana kabisa nani anaemjua kuwa ni Fisadi, na amewasema hadharani.
Imani yangu inanituma pia kuwa, ifikapo uchaguzi mkuu 2010, Mengi bado ataendelea kutoa mchango katika ushindi wa CCM kwenye uchaguzi huo. Kwanini anafanya hivyo, SIJUI. Inawezekana kuwa ni kwakuwa anaamini kuwa CCM bado ni chama kizuri tu.
Mkuu, kuwa na upande katika sakata hili ni jambo lisilohitaji mjadala. RA ni fisadi anaeudhi. Kwa vyovyote iwavyo si rahisi kuwa upande wake (labda kwa masilahi maalum). Kama siko upande wake nitakuwa upande wa nani? Walau upande wa Mengi mpaka hapo nae atakaposhindwa kuendelea kustahili imani yangu. Nadhani hivyo ndivyo ilivyo kwa wengi humu.
Nchi hii itajengwa na WaTanzania wenye nia njema. Hao wanaanza kupungua kila siku.
ohh ukabila, regional politics, wachaga, wasukuma, maneno kibao....
si ungeanza tu straight kumtetea RA......
RA victim du.....
kama RA alivyokuwa amejificha mda mrefu watu wakamkamua akatoka ndani ya pango na kusema kinachomsibu...
kwi kwi kwi.....
...
RA kamavictim wengine wa EPAalikuwa just a facilitator but the bottomline is the CCM Election Finance ndio chanzo cha ufisadi wote.
did you just say RA ni victim wa EPA kama wengine?.... halafu umesema "CCM election finance ndio chanzo cha ufisadi wote"... do you know kwamba aliyekuwa anasimamia finance ya election ya CCM ni Rostam?.. ina maana Rostam hawezi kuwa Victim.. not in longshot!
Hata mimi nimestushwa kupita kiasi. Au Mwanakiji alimwachia mtu mwingine akashukuru bila yeye kujua? kama nini yeye ajaribu kuelezea ni kwa nini alitoa shukrani kwa "utumbo" kama huu unaotaka kuchochochea ukabila!!Too simplistic! Mzee Mwanakijiji kwa nini umeshukuru hii post? does'nt make sense to me at all.
Hata mimi nimestushwa kupita kiasi. Au Mwanakiji alimwachia mtu mwingine akashukuru bila yeye kujua? kama nini yeye ajaribu kuelezea ni kwa nini alitoa shukrani kwa "utumbo" kama huu unaotaka kuchochochea ukabila!!
What power did Rostam had to push BOT? was the governer scared of Rostam? what power did Rostam had to push for free fuel from oil com,Njake and many other ? Unataka kusema Rostam ndio Kamati kuu ya CCM? Eveyone in High level of CCM was fully involved and if we can make CCM to conced that ,we will move one step ahead, Rostam was a by pass because of his financial postion.The sole responsibility of the theft is of CCM High level ledears everyone has his signature in Kind.
Nakuhakikishia if we keep the theory of RA and not include CCM hatfungwa mtu and we weill always end kupiga makelele
Kwa bahati mbaya nilikuwepo pale White House wakati mambo ya CCM kupitishana kugombea kula nchi yetu. lakini pia bahati mbaya nyingine nilikuwepo pale Chimwaga wakati wajumbe wa CCM wanatuchagulia balaa awe Rais wa Nchi yetu.Nenda NEC CCM ukawaulize? watakueleza vizuri , Kamwulize Sumaye ? Kula (KURA?)za Kanda ya ziwa zilivyomkosesha Uraisi
therefore huo ndio ukweli
Watanzania kama wewe mwoga mwoga, ndio mnaturudisha nyuma kimaendeleo, The fact is fact haka kama ni za kikabira. Long time tulikuwa hatuwezi kuongelea hata Viongozi walioko madarakani but now we can
Tunaogopa kuongelea mambo ya Kimsingi yanayoturudisha nyuma. Lazim tutegue mtego wa hii issue complexy, we dont need to fix ourself in denial.
Hayo mambo ya ukabila power etal.. ni spin, tena msitake kutuvuruga na kutupandikiza fitina ili tuache kushikama kuyaangusha mafisadi!
Hapo swala ni wezi wachache kuiba hela zetu na kutumia hizo pesa kuiweka serikali madarakni,na kibaya zaidi kuipangia uongozi hivyo kuifanya serikali nzima vibaraka wao kwani hawawezi kuwagusa kwa vile ndo wali waweka!
Hizo propaganda zenu ni za kubuni kuhisi na your wishful thinking!
turudi vitani wakuu, hakuna cha kabila la kijani wala blue, hapa ni mafisadi wote kurudisha kilicho chetu period!
Tuache hangover ya mwalimu..tukabiliane na matatizo yetu. Hii denialism kwamba TZ hakuna ukabila wala udini ..tunajaribu kuahirisha matatizo..Let us solve them before it is too late.
naogopa kabisa kufikiria hoja ya kikabila.. kwa sababu in that case watu wa magharibi watashinda hands down! Hapana.. hii ni kati ya watu wanaoamini kuwa utajiri wa nchi ni wa kwao peke yao na wale ambao wanataka tugawane utajiri huo.
Hivyo Vodacom naamini ni mahali kama pa recruitment.. haiwezekani:
Dr. Idris
Ngeleja
Noni
Rostam
n.k something is very wrong.. kama RA ameweza kukuamini kwenye Vodacom.. you have passed the test
Jumlisha:
ALPHATEL- Vodacom Superdealer- LOWASA
SHIVACOM - Vodacom Superdealer- TANIL SOMAIYA
Mfanyakazi wa BOT ambaye ana uwezo na fedha ya kuanzisha kampuni ya Planetel (ningependa kweli kujua kampuni hii ilianzishwa lini na wana hisa wake!) na kuwa na hisa kubwa tu kule Vodacom ambazo walikuwa waziuze (sijui kama tayari wameziuza) kwa kampuni ya Mirambo inayomilikiwa na Rostam!
Mpango huo ulifanikiwa kwa ushirikiano mkubwa na usaidizi wa aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Bw. Andrew Chenge.
Well.. je waridi likiwa na rangi nyingine laweza kuwa si waridi?
Mwanakijiji,
Peter Noni kama RA sidhani kama jina lake linaonekana huko Planetel kwani ninavyojua anamtumia mkewe ambaye pia anamiliki Sapna Telecomunications.