Peter Mutharika atangazwa mshindi Uchaguzi Mkuu Malawi

Peter Mutharika atangazwa mshindi Uchaguzi Mkuu Malawi

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Katika taarifa ya radio france international wamesema kura zimehesabiwa upya na matokeo yamempa ushindi peter mudharika kama ilivyo kuwa awali;hii ni pigo tena kwakwe
 
kama sodoma na gomola walivyoangamia na yoyote atakae tetea ataangamia pamoja.
 
malipo hapahapa duniani! huyu mama anaweza kufa kwa kihoro akikumbuka alivyowatenda watu ambao sasa watakuwa viongozi wa nchi !
 
UCHAGUZI MALAWI: Tume ya Uchaguzi Malawi yamtangaza mgombea wa upinzani, Prof. Peter Mutharika kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini humo.
 
Good news. Huyu mama madaraka yalikuwa yanampeleka pabaya!
 
_75215321_3aedbb84-3c5f-42a6-a6e9-4155805a630e.jpg

Opposition candidate Peter Mutharika has been declared the winner of Malawi's disputed presidential election.
The leader of the Democratic Progressive Party obtained 36.4% of the vote, the electoral commission announced.
A protester died earlier after police dispersed an angry crowd demanding a recount of last week's ballot.
Outgoing president Joyce Banda has alleged the vote was rigged.

'Law is clear'
The Malawi Electoral Commission (MEC) had asked for a 30-day extension to declare the results so that a recount could be carried out.
However, the High Court refused to delay the release of results and ordered the commission to make its announcement on Friday.
"The law is clear, there is no extension," judge Kenyatta Nyirenda said.
Mr Mutharika is the brother of the late President Bingu wa Mutharika, and had served as his foreign minister.

Former preacher Lazarus Chakwera came second with 27.8% of the vote. He represented the Malawi Congress Party, which governed from independence in 1964 until the first multi-party poll in 1994.
Mrs Banda, who came to power after the death of Bingu wa Mutharika two years ago, was third with 20.2% of the vote.
Her administration had been hit by a corruption scandal dubbed "cashgate", which led donors to cut aid.
Malawi is one the poorest nations in the world and is heavily dependent on aid, which provides 40% of the country's budget.

'Frustrated voters'

About 7.5 million people were eligible to vote in the elections, which was described as Malawi's closest-fought poll in 20 years.
The election was chaotic, with many polling stations opening up hours late and frustrated voters setting one polling station alight.
The electoral commission said that in 58 of more than 4,000 polling centres the official number of votes cast was more than that of registered voters.
Last week, Mrs Banda accused a party, which she did not name, of infiltrating and hacking the electronic system that transmits the results to the MEC's headquarters.
The MEC's chairman denied that its system had been hacked.
 
_75215606_0f0fadde-8706-4970-bd63-817189e8e070.jpg Anaweza kafikiri hwa wahesabu kura wamehongwa _75215582_ba58068a-12bc-4002-a381-c61dd2415bf7.jpg

Joyce Banda pamoja na jitihada zake kutaka kusitisha kuhesabu kura ameangukia pua, jamani maumivu ya kuiacha Ikulu kumbe makubwa hivi.
 
tume yetu sio huru ni ya chama tawala never and never and never ikawa huru ktk kutenda haki "MKAZO MKUBWA ZAIDI UNGEWEKWA KTK TUME HURU YA UCHAGUZI ISIYOWEZA KUPOKWA MADARAKA AU MAMLAKA"
 
Yule jamaa aliyeanzisha uzi humu akisema "Uchaguzi wa Afrika Kusini ni funzo tosha kwa CDM", nilitegemea angeendelea kutujuza na huu wa Malawi ukiachilia mbali ule wa India ni funzo tosha kwa nani?
 
Huyu bibie aangaliwe na madaktari kwa karibu , asije akapata heart attack

Mbaya zaidi Joyce Banda kushika nafasi ya tatu wakati amekuwa na nafasi kutokana na kuwa Ikulu kama Mkuu wa nchi nadhani kuna mengi ameboronga kuliko tunavyofikiria nchini mwake kama wanavyoeleza ubadhilifu wa mali ya umma hadi kufikia misaada kupunguzwa toka kwa wahisani.
 
Back
Top Bottom