YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,924
Msigwa kwa mwezi analipwa mshahara milioni 12 ana maisha magumu gani kama sio kukufuru MunguKadanganya nni??? Miaka 50 maisha magumu hivi alafu mnasema mko huru ..... Unasahau 60% hawana maji safi na salama nchi nzima uhuru my foot