kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,978
Wapuuzi wakijuanaKafanya upuuzi kwa kuongea kipuuzi.
Wapuuzi wakijuanaKafanya upuuzi kwa kuongea kipuuzi.
Ha ha ha, haisadii kitu.Na wewe ni mpumbavu sana.
Huyo mpuuzi eti anaona aandike kwa Kiingereza kuhusu kujikomboa. Ha ha ha. Aende akawe shambaboy wa hao waingereza basi.Wapuuzi wakijuana
Wewe ni mpumbavu tu.Ha ha ha, haisadii kitu.
Chonde Chonde kesho asijeokotwa porini! Maana unaonekana una Hasira! Na Hasira za ccm haziendagi salamaKafanya upuuzi kwa kuongea kipuuzi.
Hapa panatia shakaKafanya upuuzi kwa kuongea kipuuzi.
Msigwa bado ni kijana mdogo na ni mpuuzi sana. Hajui aongealo.
Hamna lolote. Mwambie huyo shambaboy asiyejielwa; hii inamhusu.Chonde Chonde kesho asijeokotwa porini! Maana unaonekana una Hasira! Na Hasira za ccm haziendagi salama
Ha ha ha, acha kuweweseka.Wewe ni mpumbavu tu.
Ndio useme kipi ambacho hajui ila anakiongea??? Kwa mtazamo wako je kuna faida ya kusherekea uhuru kma kuna mtu anapigika na maisha kma enzi za ukoloni mfano anaishi chini ya dola moja, anashindia mlo mmoja kwa cku n.kMsigwa bado ni kijana mdogo na ni mpuuzi sana. Hajui aongealo.
Na wewe nawe una mawazo ya kitumwa tu.Ndio useme kipi ambacho hajui ila anakiongea??? Kwa mtazamo wako je kuna faida ya kusherekea uhuru kma kuna mtu anapigika na maisha kma enzi za ukoloni mfano anaishi chini ya dola moja, anashindia mlo mmoja kwa cku n.k
Utumwa upi wakati nmeshakuwa liberated kutoka utumwa wa chama cha mapinduzi ambacho kimetufikisha hapa tulipo vijana kibao mitaani hawana ajira na serikali haina nia ya kuwatafutia incentives wala kuformalise informal sector ili ziweze kuajiri vijana wengi wamekalia kununua mapangaboi!!!!! Sasa mimi na ww nani mtumwa??? Mnahaidiwa maisha bora mwaka wa 15 sasa hamuhoji waliishia wapi ila mnaaminishwa uchumi wa viwanda unakujaNa wewe nawe una mawazo ya kitumwa tu.
Keybaorder!!Kadanganya nni??? Miaka 50 maisha magumu hivi alafu mnasema mko huru ..... Unasahau 60% hawana maji safi na salama nchi nzima uhuru my foot
Leo hii anajifanya anajua kuandika kizungu, ha ha ha.Miaka 7 iliyopita Msigwa alikuwa Muuza Mitumba Iringa
Haijalishi kama alikuwa muuza mitumba....Miaka 7 iliyopita Msigwa alikuwa Muuza Mitumba Iringa
Labda wewe ni mtumwa mamboleo. Haishangazi....je hatujawa watumwa mamboleo??
Ni rahisi sana mpuuzi kumwita mwenye busara mpuuziMsigwa ni mpuuzi sana.