Peter Msigwa: We were liberated only to be captured again

Kadanganya nni??? Miaka 50 maisha magumu hivi alafu mnasema mko huru ..... Unasahau 60% hawana maji safi na salama nchi nzima uhuru my foot
Msigwa kwa mwezi analipwa mshahara milioni 12 ana maisha magumu gani kama sio kukufuru Mungu
 
Msigwa bado ni kijana mdogo na ni mpuuzi sana. Hajui aongealo.
Wewe Rafiki yangu umefanya nitafakari sana kwamba sisi tullio wengi tunafuata mamluki haiwezekana useme mtu fulani mpuuzi halafu uulizwe upuuzi gani umefanyika? .Halafu jibu lako liwe hivi "Msigwa ni Mpuuzi sana" swali jepesi la kutumia weredi lakini jibu jepesi la kutotumia weredi..... Hongeraaa sana ingawa tunashauriwa tubadilike kweli Tunapasaswa kubadilika
 
Kwanza amekalia kiti chetu.
Naona mmefunga shule, sasa mnatusumbua na upepo mliolishwa!! Jitahidi umalize japo kidato cha nne. Kitakufungua ufahamu na utaweza kuchangia humu jukwaani. Sasa hivi uwe unatoa like na dislike tu!
 
Back
Top Bottom