Duh, hivi hampewi semina ya jinsi ya kuandaa propaganda.....
Mara mil 200 ya kuandalia mkutano, tena ikabadirika hongo kwa Msigwa kwa kumtetetea kwa pole pole, ikaja 50 mil ya hongo kwa Msigwa halafu ikatumika kutengeneza ma bango......inaonekana hata maana ya Hongo huijui....hueleweki, kajipange