Namuonea huruma mtu yeyote mwenye ndoto na ubunge wa CCMJust because amehama chama haimaanishi urafiki umeisha
Politician or not, madeleka ana every right ya kupambania ndoto yake
Hiki ulichoandika kimetusaidia kuzijuwa rangi halisi za Wanasiasa wengi wa Tanzania.anataka kugombea Tabora mjini...chadema haitshriki, sasa kama ana ndoto za hela nyingi za bure za ubunge lazima ahame. He was in chadema kutafuta fursa na si kupigania haki
Mkuu hamna watu wanabet over and over hawapati kitu halafu inatokea siku wanapata Jackpot?
Politics siyo betting.Mkuu hamna watu wanabet over and over hawapati kitu halafu inatokea siku wanapata Jackpot?
Sasa kugombea kupitia ACT inatofauti ipi na betting?Politics siyo betting.
😂😂😂😂Hakuna kilichomkuta zaidi ya kufanya anayoona yanafaa bila kuvunja sheria. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuongozwa na Lissu.
sinking ship wakati bibi yenu usiku kucha halali akisika No Reforms......usingizi unakata macho hadi asbhi.It's wise to jump off a sinking ship
sure, kule kuna hela za bure, unakaa unagonga meza, 200,000 za kugonga meza zinaingiaHiki ulichoandika kimetusaidia kuzijuwa rangi halisi za Wanasiasa wengi wa Tanzania.
Peter Serukamba naye anaacha Ukuu wa mkoa anakwenda kugombea ubunge Kigoma na kule atawadanganya anataka kuwatumikia kumbe anataka kutumikia tumbo lake.
umemjibu safi kabisa. sinking ship unampoteza Mdude?sinking ship wakati bibi yenu usiku kucha halali akisika No Reforms......usingizi unakata macho hadi asbhi.
Ni bora iwe ndoto kuliko kuingia kwenye uchaguzi wa kijinga kama huu wa Tanzania.NRNE ya CHADEMA ni ndoto za mchana!
Binadamu angekuwa hana tumbo angekuwa mtu mzuri sana.Aiseeee leo ni bandika bandua! Kila sehemu moto! Mzee wa kesi katimkia zake ACT Wazalendo bana, yeye hajataka kwenda kula ubwabwa😂😂
=====
ACT Wazalendo wanafanya mkutano na waandishi wa habari muda huu Makao Makuu ya chama Magomeni, Dar es Salaam Mei 20, 2025
Isihaka Mchinjita - Makamu Mwenyekiti Bara ACT
Mkutano huu umefanyika ukiwa na lengo la kumpokea mwanachama mpya - Peter Madeleka katika chama hicho.
Haku staafu , aliacha kazi. Kuweka record sawaHuu ndio muda wa siasa inasemekana Wakili na Polisi mstaafu Peter madeleka amehamia ACT Wazalendo