Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Wakili Msomi Peter Kibatala
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania (Judge Luanda, Judge Kipenka na Judge Mugasha) itayokaa Arusha mnamo 27th February 2017 itasikiliza Rufaa ya Serikali dhidi ya Uamuzi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha kuhusiana na dhamana ya Godbless Jonathan Lema.
Mengine yanabaki kama tulivyo-report awali; na tutazungumza baada ya uamuzi wa Mahakama ya Rufaa. Tunataraji hautachukua muda mrefu.
Tunaishukuru Mahakama ya Rufaa kwa kulipa uzito suala hili na kutusikiliza kwa haraka sana.