Pete ya uchumba "Tanzanite" nitapata wapi?

Pete ya uchumba "Tanzanite" nitapata wapi?

Nenda city mall hapo kuna maduka mengi ya jewelry wanauza
 
Nenda gift jewellery follow istagram wanapatikana city mall bei zao sio kubwa
 
Watu wanapigwa sana na fake tanzanite yani wanauzia mawe fake yanaitwa zandu.....akijua kavaa tanzanite
 
Back
Top Bottom