Pete sio chanzo cha Ndoa

Pete sio chanzo cha Ndoa

wanawake hatuko hivyo hapo nakupinga kabisa nyie ndo mnatutenda sana tena sana
tunabaki na vidonda vya moyoni kwa ajili yenu asanteni kwa jinsi mnavyotufanyia ila Mungu atawalipa
mara kumi zaidi kwa yale mnayotufanyia siye wanawake
Yoote ni kweli but hata wadada mko hivo jamani. Uliposema sio wote umemaliza kila kitu, SIO WOTE
 
wanawake hatuko hivyo hapo nakupinga kabisa nyie ndo mnatutenda sana tena sana
tunabaki na vidonda vya moyoni kwa ajili yenu asanteni kwa jinsi mnavyotufanyia ila Mungu atawalipa
mara kumi zaidi kwa yale mnayotufanyia siye wanawake

Mimi ni mmoja kati ya waliofanyiwa hayo unayopinga na mwanamke mwenzako ladyfurahia. Sitamsahau na sitamsamehe
 
Last edited by a moderator:
Huyo alikuwa na dhana yake kabisa tofauti kwako hakuwa kama wanawake wengine walivyo
ndo mana nilikupinga wanawake hawako hivyo, wanawake hatukko hivyo labda itokee
mwanamke ana kusudio mbaya dhidi yako laikini mwanamke wa kweli na muadilifu hayuko hivyo

Nitakubali coz nataka nisimkumbuke huyu mtu...sorry lady acha tu hayo nambo
 
pole mwaya kwa yaliyokupata ina maana alikutenda?
hakuwa na nia njema kwako huyo pole bestito ila usijali
Nitakubali coz nataka nisimkumbuke huyu mtu...sorry lady acha tu hayo nambo
 
wanawake hatuko hivyo hapo nakupinga kabisa nyie ndo mnatutenda sana tena sana
tunabaki na vidonda vya moyoni kwa ajili yenu asanteni kwa jinsi mnavyotufanyia ila Mungu atawalipa
mara kumi zaidi kwa yale mnayotufanyia siye wanawake

Cousion... Nina imani what goes around comes around.... Wacha watudanganye danganye ila mwisho wa siku nao huwa wanapata wa kuwadanganya.... Asikwambie mtu Wanaume huwa wanaumia sana wanapotendwa. Sisi pia tunaumia ila machungu hupungua kwa kutoa machozi....
 
Asante kwa somo zuri,ama kweli wanaume sio wa kuaminiwa kabisa.Wengi ni waumizaji,kisha hawayajali maumivu.Tuwe makini wadada.Na wanaume msipende kuwafanyia dada zenu msivopenda kufanyiwa.
 
Si wote wako hivyo ni wachache wao bestito hivyo usiwe na mtazamo kinzifu namna hiyo best

mara nyingi tabia ya mtu ni yya mtu binafsi si kulinganisha na wengine wako wengine hawako hivyo

usijali...but amenisaidia kuwajua wanawake naamini wote wako kama yeye
 
Asante kushukuru besti najua umejifunza kitu hapo bestito wangu
asante kwa somo zuri,ama kweli wanaume sio wa kuaminiwa kabisa.wengi ni waumizaji,kisha hawayajali maumivu.tuwe makini wadada.na wanaume msipende kuwafanyia dada zenu msivopenda kufanyiwa.
 
Acha nigongemelee msumari cousin hapo ni kweli wanaume wanaumia sana wakishatendwa ila siye tuna pa kukimbilia na huwaga tunasahau na kuwasamehe sio wao hawana moyo wa kusamehe hata pale wanapofanyiwa vibaya na wenzi wao, wao huwaga wanalipiza kisasi sana tena sana mf: Shem wako m wa jf
cousion... Nina imani what goes around comes around.... Wacha watudanganye danganye ila mwisho wa siku nao huwa wanapata wa kuwadanganya.... Asikwambie mtu wanaume huwa wanaumia sana wanapotendwa. Sisi pia tunaumia ila machungu hupungua kwa kutoa machozi....
 
kazi ipo mwaka huu kuna kaukweli ila wasiwe 50 50 sn maana wanaweza kujikuta wanakosa ndoa hivhiv!
 
Back
Top Bottom