ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
- #21
heee jamani haya tena mambo kumbe mwajijua mlivyo
^^
Tena ni kheri hao wenzangu wanaweza kuwapa hizo pete, mi ndo kabisaa tegemeo hilo halipo kwenye ratiba,mi sio mzuri kwa kweli, yaani hata sijui nina nini mie Himidini !!
^^