...LOL...miaka mitatu imepita tangu umetoa jibu la kwanza. Mwenzio hata sikumbuki
nimeziweka wapi zangu,...[uligusia mwanaume ni kiashiria cha utunzaji wa familia]
Haya, natafakur majibu ya RR Hapa chini;
lahh,...RR, hivi uaminifu 'wanaouzungumzia' ni upi bana.
Mimi najionea viroja tu haya mambo ya pete.
Hata mtu avae pete yenye vimulimuli, naona pete
imeshapoteza maana...