we acha tu, i dont know why lakini kuna ka upepo kamepita imefikia kila kitu tunafanya kama fasheni... siku hizi hata kuwa na mpango wa kando ni sunna, inauma sana uchungu lakini kwa wengi tunaoishi Dar tunayaona, sijui mikoani au nje hali ikoje lakini kwa dar ni balaa
Kuna siku (kama alivyotoa mfano chauro) nilikuta dada ana peke kama nusu kilo hivi ya ndoa na nyingine ya engagement... lakini alivyokua amekaa chobingo na jinsi alivyokua amekula chicha na mambo aliyokua anayafanya huwezi kuamini
I think there is a need for a social campaign kuhamasisha jamii kuamka na hali iliyopo..............
Sikuchanganyi huo ndio ukweli wa maana ya pete,mnamtukuza Lucifer bila nyie kujua!Mh. Hapo unatuchanganya
Sidhani kama kuna manusura tena baada ya haya yanayotokea.
Chombo kishakata nanga, kinafuata upepo tu. Liwalo na liwe,
Kwenye nchi za kimagharibi mambo ndio yeshaharibika kabisaa,...afadhalia ya
Africa na barani Asia kidogo (baadhi ya nchi)
Kwenye sector ya Recreation, hospitality and tourism vituko vinavyoonekana
humo unaweza lia machozi. Lakini bila kwenda mbali, na washkaji ambao ni Taxi Drivers
hapo mjini Dar,...aisee story zao kuhusiana na janga hili, ...unaweza angua machozi.
Unaukumbuka ule wimbo ♫ "wote ni abiria wangu ee, mimi ni taxi Driver!" ♫..
nimekumbuka kibwagizo hiko pekee, sikumbuki bendi gani miaka ile ya 80s...
Hiyo ndiyo tafsiri sahihi.Maana yake umeoa/umeolewa. Huna uhuru wa kufanya unachotaka bila kushirikisha upande wa pili.
Ya nini????Hiyo ndiyo tafsiri sahihi.
naomba 'like' yangu.Hiyo ndiyo tafsiri sahihi.
ya pete.Ya nini????
...pamoja na tafsiri zote, kuvishwa PETE na umpendae ni the best feeling ever!
...Kiongozi, are you proud to wear your ring?...ni swali la kizushi tu.
Unajiskiaje ukiwa umeivaa...
Unajua kuna hisia fulani hunipata kila nikivaa ring yangu, hebu nisikie na wenzangu mnasemaje.
Sio kweli hata kidogo!Tunadandia mambo tu!ya pete.
Duh hapo kwenye Blue hapo.........mbona unatutisha?? Kwa hiyo kama mtu anakuwa na hisia kama zako halafu ukimkuta kavaa pete unamtafsirije??
Wacha muchezo!! kwa hiyo ndo..........................Ndo maanake...ukikuta mamsap havai ujue hata njemba haivai.
Kama nimepotea hivi!!??
...sijui! eti wasabato mnasemaje???
teh teh teh kumbe ili swali halinihusu! Kakobe oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
...sijui! eti wasabato mnasemaje???
Usimdai mshikaji, ntakugongea baadaeeeeenaomba 'like' yangu.
...hhahha,...Ikunda usishtuke bana, ndio hali ya dunia na mapito yake,
ila hapo kwenye ubuluu, umenichekesha sana...wengi hujifanya wameisahau juu ya dressing table
Halafu upo kazini unashtukia simu/sms ..."umeiachia nini pete nyumbani?"---Problem Solved.
Dawa tosha hiyo saa ingine.
Ila mabinti wa siku hizi ni balaa. Enzi za ujana wangu sikuwahi kumpa nafasi mtu mwenye pete aniambie kuwa ananipenda. Kwanza nilikuwa nahoji mpaka jamaa anaona amekutana na padri alomfungisha ndoa. I thank God sijawahi tembea na mume wa mtu mpaka naolewa na sijawahi hata kumtamani. Nikiona pete tu hata uwe handsome vipi nilikuwa nakuona kama kaka yangu. Siku hizi wame za watu ni fashion.