Pesa zimeenda wapi mtaani au wengi hatujui kuzitega

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
773
Reaction score
2,587
Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia, hii stori sasa haipo ,tangaza kitu Cha milioni kuanzia Tano mfano gari , uwanja nk utaona unavyopata taaabu kuuza, nijiuliza wote tumekwama au mbinu zetu zimeisha pitwa na wakati , mbona hata vijana zaidi ya kupendeza huoni Cha maana wanachomiliki hii inatoa tafsri gani, mwaka wa uchaguzi pesa zilikuwa zinazagaa mtaani what happen mwaka huu
 
Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia, hii stori sasa haipo ,tangaza kitu Cha milioni kuanzia Tano mfano gari , uwanja nk utaona unavyopata taaabu kuuza
Vipaumbele vya watu vimebadillika wanajikita zaidi kwenye biashara na kusomesha watoto sio viwanja na magari
 
Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia, hii stori sasa haipo ,tangaza kitu Cha milioni kuanzia Tano mfano gari , uwanja nk utaona unavyopata taaabu kuuza, nijiuliza wote tumekwama au mbinu zetu zimeisha pitwa na wakati , mbona hata vijana zaidi ya kupendeza huoni Cha maana wanachomiliki hii inatoa tafsri gani, mwaka wa uchaguzi pesa zilikuwa zinazagaa mtaani what happen mwaka huu
Unaweza kuwaza Labda connection zimekata!
 
Watanzania wameisha jifunza namna ya kudhibiti pesa.....Idadi ya watu wenye akaunti za akiba na uwekezaji imekuwa kubwa na kupelekea punguzo kubwa la matumizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom