jana nilipita sehemu inayoitwa msoga kama km kumi ukitokea chalinze, kwenda arusha. kuna kitongaji kinaitwa vicoba hapa ndo nyumbani kwa jk. 1. kuna ujenzi wa majengo kama 14 yanajengwa pale. wenyeji wanasema inajengwa ikulu pale.
muungwana jk, kila jumamosi anakuja kukagua ujenzi.inasemekana kuwa anakuja kupitia mlandizi, anafika vocoba then anarudia bagamoyo kupitia kwa wazee wake pale bagamoyo.
pia 2. kuna ujenzi wa majengo mawili ya ghorofa nne, yamejengwa na nationa l housing nje kidogo ya chalinze, inasemekana ni kwa ajili ya wafanyakzi watakaoukuwa wannafanya kazi ikulu ya vicoba.
je ni nani anafadhili ujenzi wa ikulu mpyaa vicoba? kama ni serikali iko kwenye bajeti?
isije ikawa yale mambo ya mobutu seseko kuhamishia ikulu kule gbaolite!
mwenye information naomba annielimishe
anapata wapi mabilioni yote hayo kujenga makazi ya kifahari katika taifa maskini kama hili? mbona nyerere hakuweza kufanya haya kwa miaka yote 24 aliyokaa ikulu? wale waliosema jk ni nyereree na lowasa ni sokoine nielemisheni
Mwikimbi,
Nani kakwambia Mwungwana hana hela? Yale mafaili ya Mangula yangefunguliwa pale kwenye kikao cha CCM cha kuchagua rais wabongo tungebaki hoi!
jana nilipita sehemu inayoitwa msoga kama km kumi ukitokea chalinze, kwenda arusha. kuna kitongaji kinaitwa vicoba hapa ndo nyumbani kwa jk. kuna ujenzi wa majengo kama 14 yanajengwa pale. wenyeji wanasema inajengwa ikulu pale.
muungwana jk, kila jumamosi anakuja kukagua ujenzi.inasemekana kuwa anakuja kupitia mlandizi, anafika vocoba then anarudia bagamoyo kupitia kwa wazee wake pale bagamoyo.
pia kuna ujenzi wa majengo mawili ya ghorofa nne, yamejengwa na nationa l housing nje kidogo ya chalinze, inasemekana ni kwa ajili ya wafanyakzi watakaoukuwa wannafanya kazi ikulu ya vicoba
je ni nani anafadhili ujenzi wa ikulu mpyaa vicoba? kama ni serikali iko kwenye bajeti?
isije ikawa yale mambo ya mobutu seseko kuhamishia ikulu kule gbaolite!
mwenye information naomba annielimishe
..HAYO MAJENGO TANGU MSINGI ULIPOANZA MARA TU ALIPOINGIA MADARAKANI TULILETA TAARIFA HAPA.....PALE NI MAKAZI YAKE BINAFSI...PALE NDIPO ASILI YA UKOO WAO..BAGAMOYO WALIHAMIA TU...!!!....ANAJENGA MAKUMBA PALE ILI UKOO WAKE WOTE UHAMIE PALE.....SANJALI NA HUO UJENZI PIA MAKAZI YAKE YA MIGOMBANI STREET ALIBOMOA NA KUNUNUA KIWANJA CHA JIRANI YAKE PALE ..NATAYARI JUMBA KUBWA LIMESIMAMA PALE...
UJENZI HUU NI NJE YA UJENZI AMBAO HUFANYWA NA SERIKALI KAMA STAHILI YA RETIREMENT PACKAGE AMBAO KWA KAWAIDA KIKWETE ATASTAHILI TENA KUJENGEWA NYUMBA NA OFISI SEHEMU ATAKAYOCHAGUA PALE ATAKAPOKARIBIA KUSTAAFU..MWAKA 2010.......AU KAMA BAHATI NBAYA HATAWEZA KUENDELEA NA MADARAKA KWA SABABU YOYOTE.......
ZILE NYUMBA ZA NATIONAL HOUSING PALE ZIMEJENGWA KATIKA MKAKATI WA KUHAMISHIA MAKAO MAKUU YA MKOA WA PWANI PALE CHALINZE ....BAAADA YA KUONEKANA WAZI KUWA KIBAHA HAICHANGAMKI AU INAKARIBIA KUMEZWA NA DAR ES SALAAM......
..MOJA YA WASIMAMIZI WA MRADI WA MAJUMBA YA KIKWETE NI RAFIKI YAKE WA TANGU ZAMANI ..BAGAMOYO...BWANA SUBASH PATEL,,,,,ambaye pia humsimamia baadhi ya kazi zake nyingine.........hivi karibuni kwa heshima ya kikwete bwana subash alikarabati shule ya msingi aliyesoma kikwete.....hapo kijijini.....
UKWELI NDIO HUO!
Subash yule wa jengo la UVCCM?
Tunaomba mtu ajitolee kupiga picha hizo nyumba,
kipanga.. Kama ni makazi binafsi ya muungwana as retirement package hivi kuna jinsi ambayo serikali inamchagulia aina ya nyumba atakayojengewa au muungwana mwenyewe anaamua tu wajenge mahekalu atakavyo?? said:.......nyumba ya kustaafu ya rais huwa haijengwi mara tu anapoingia madarakani....ujenzi wake huanza pale anapokaribia kustaafu........
..ni subash patel haswaa yule wa jengo la vijana ...na taarifa za mwanzo ni kuwa huyu pia anapewa mgondi wa chuma..............na hata ule mradi wa makaa ya mawe alikuwa anautaka ..kupitia kampuni ya mms.....
..nchi hii kuna unafiki sana ..tena hasa huyu mkuu wa kaya kazidi unafiki..kwa taarifa ni kuwa hakuna deal inayoendelea ambayo wahusika hawafahamu.......
Sina hakika kama ni huyohuyo ponjolo au mwingine lakini jina linafanana na hilo,km 22 toka Chalinze kwenda Bagamoyo kupitia kijiji cha Talawanda,kabla hujafika s/msingi Magurumatali jamaa wamemegewa ardhi kubwa ya kufa mtu,bango lao linasema wanatafiti kama kuna uwezekano wa kupata material za saruji,wanakijiji wanasema patajengwa kiwanda cha saruji,hata haieleweki ila ardhi imechukuliwa.Mitaa yote hiyo ni mitaa ya muungwana na jamaa zake.