Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

Kutoka google:

majengoyanani.jpg

na pili inaonesha majengo ya upande mwingine, kutokana na rangi na muundo wake, naamini yanahusiana.

majengoyanani2.jpg
 
mmh JK mbona kaanza na speed ya ajabu namna hii!!
shamba la mananasi tu hili ?
 
....mjj Safi Angalia Namna Ya Kuikuza Zaidi.....hiyo Barabara Ya Vumbi Ndiyo Inatokea Barabara Kuu Ya Lami..kwenye Kona Ya Msikiti..ukiwa Anateremka Na Gari Barabara Kuu Unaona Magorofa Yenye Mapaa Ya Vigae Vya Kijani.....

...nadhani Vigae Vya Kijani Vipo Strategic ...kama Camoufledge ..pamoja Na Uoto Wa Pale Hata Picha Haitoki Vema Sana ..ingekuwa Ameweka Vigae Vyekundu Ingekuwa Aibu ..tungepata Contrast Nzuri Sana...
 
Pia na nyie mnakaribishwa kujenga hapo Msoga kwani nijuavyo ni kwamba viwanja tayari vimepimwa na sote tunaweza pata viwanja pembeni ili hapo baadaye awe na majirani kama Mwalimu alivyofanya Msasani! hivyo jamani changamukieni viwanja vya makazi na biashara kwani muungwana kawaachia barabarani, pia sina uhakika kama ni yeye binafsi anajenga kwani land clearing ilifanywa na JKT
 
Heshima mbele wakuu,

Source mbili ninazosuspect zinamwezesha kupata pesa ya kujenga mijengo hiyo ni:

1.Shamba la mananasi kama ilivyonukuliwa hapo juu
2.Perdiem za safari zake nyingi za nje ya nchi both akiwa Waziri wa Mambo ya nchi za Nje(Awamu ya tatu) na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania (mambo ya nje).

Hoja ni kama perdiem,allowances na mshahara wake kama Rais hautoshelezi kufanya hicho anachokifanya hapo Msoga.
 
Yaani kila siku nazidi kutokuwa naelewa elewa na hata sielewi elewi...

Sasa nami naweza wapata JKT kwa ajili ya land clearing na shughuli nyengine za ujenzi mara tu nikinunua kiwanja hapo pembeni ya muungwana... ni jambo la busara anaandaa makazi yake mapema maana kwa mwendo kama huu sijui...

Ila kama vinyonga tutafika... Mwenda pole hajikwai.
 
Heshima mbele wakuu,

Source mbili ninazosuspect zinamwezesha kupata pesa ya kujenga mijengo hiyo ni:

1.Shamba la mananasi kama ilivyonukuliwa hapo juu
2.Perdiem za safari zake nyingi za nje ya nchi both akiwa Waziri wa Mambo ya nchi za Nje(Awamu ya tatu) na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania (mambo ya nje).

Hoja ni kama perdiem,allowances na mshahara wake kama Rais hautoshelezi kufanya hicho anachokifanya hapo Msoga.

Unaweza ukawa sahihi maana kuna wanaosafiri naye mara moja tu, wanarudi nyumbani na kufanya vitu vya uhakika. Hapa nina maana ya maofisa ama waandishi wa habari, sasa yeye anayesafiri kila kukicha? Hapo angalia tokea akiwa Waziri. Halafu yeye ana advantage ya kumtumia Esteem Construction ya Subash Patel, akamfanyia kazi kwa bei poa kabisa kwa kujipendekeza ama kwa kuwekeza, akitegemea faida ya baadaye ama basi tu ili aonekane kuwa karibu na bwana mkubwa, na kutumia ukaribu huo kuwatisha kina fulani wampatie jengo la UVCCM, Mchuchuma, ujenzi wa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kadhalika, wakijiona wanamfurahisha rafiki wa bosi
 
Kosa tulilolifanya WTZ ni kuchagua JK, tena kwa 80 %!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mungu amuongezee busara nyingi ili aamue kwa busara zake mwnyewe asingombee 2010!!!!!
 
Ninavyofahamu mimi ni kwamba zile nyumba ni zake nibafsi mkulu na ameweka na msikiti katikati...na kuna tetesi kwamba ujenzi ule unafanywa na serikali yetu na kuna watu walihamishwa maeneo ya karibu na pale na kujengewa nyumba nzuri sehemu nyingine ili mzee na ukoo wake wapate faragha
 
Hivi hizo cellfoni zenu, camera zake hazifanyi kazi? Tunaomba mtu ajitolee kupiga picha hizo nyumba, Dar na huko Chalinze ili utamu wa hii stori kolee na kupata nguvu.

Magazeti yetu nayo mbona kimya?

Pale Migombani inajulikana wazi kuwa amemnunua jirani yake na kuibomoa yote na kujenga nyumba nyingine, ila swala la kupiga picha pale ni kazi kidogo maana hawa askari wetu wanaolinda pale hawakawii kukurukia na kukubandikizia kesi ambayo huwezi kuepuka kama sio SEGEREA basi KEKO.
 
Nadhani itakuwa rahisi kupiga picha kibao ama bango la mkandarasi wa hayo majumba ya chalinze na ikitokea mtu anauwezo w kuwahoji baadhi ya wajenzi ama mafundi wanao jenge hayo maekalu basi lazima tutapata mambo mawili matatu kuhusu hilo kama ni nyumba yake binafsi ama ikulu au kiwanda cha saruji.
But naomba kuuliza hapo nimakazi ya watu kama nikiwanda tena cha saruji wana mazingira wako wapi wanaruhusi ujenzi wa kiwanda ktk makazi ya watu??
au ndio ule mtindo baada ya muda wananchi wa eneo hilo wakianza kulalamikia athari za kiwanda hicho cha saruji wanaambiwa wao ni wavamizi hilo ni sehemu ya kiwanda na map plan ya eneo hilo inabadilishwa hata kama mtu alishapewa hati ya kiwanja ataambiwa niyo hati ni batili??
 
Borntown na wengine,
Picha tayari tumeshaona. Zipo EARTH GOOGLES. Soma ukurasa wa nne wa hii makala imeandikwa kila kitu. Pia ukiangalia si kweli kwamba hapo ni kiwanda cha Saruji kwani ni majengo ya watu kuishi au makazi na hakuna mkanda au Bomba lolote linalobeba materials kutoka sehemu moja kwenda nyingine na sidhani watakuwa wanahamisha kila sehemu kwa gari. Hivyo la kusema kiwanda cha saruji hapo hakipo. Picha zilizopigwa chini zitatupa mwanga kupata haya majengo katia 3D.
Mwisho mwacheni amalizie makazi yake na mwaka 2010 akajipumzishe pale baada ya kazi ngumu ya kujenga Taifa letu.
 
Unaweza ukawa sahihi maana kuna wanaosafiri naye mara moja tu, wanarudi nyumbani na kufanya vitu vya uhakika. Hapa nina maana ya maofisa ama waandishi wa habari, sasa yeye anayesafiri kila kukicha? Hapo angalia tokea akiwa Waziri. Halafu yeye ana advantage ya kumtumia Esteem Construction ya Subash Patel, akamfanyia kazi kwa bei poa kabisa kwa kujipendekeza ama kwa kuwekeza, akitegemea faida ya baadaye ama basi tu ili aonekane kuwa karibu na bwana mkubwa, na kutumia ukaribu huo kuwatisha kina fulani wampatie jengo la UVCCM, Mchuchuma, ujenzi wa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kadhalika, wakijiona wanamfurahisha rafiki wa bosi

historia ya estim construction co ltd

1988-1990 kampuni ya konoike ilipewa kazi ya kujenga mradi wa maji uitwao the great nakuru water supply project nchini kenya. mtu aitwaye girr mhindi aliajiriwa kama karani wa kawaida.

1990s konoike walihamia dsm kwenye mradi wa dsm road improvement program(drimp), wahamia hapa na bwana girr, huyu baadaye akaungana na mtanzania mmoja mhandisi mahiri aitwae paul j.sirito, wakaanzisha estim construction.(estim=establish and maintain). huyu girr akaja kumwondoa yule mtanzania akabaki mwenyewe.

hivyoo girr mohamed ndo mkurugenzi wa estim, shubash patel hapana.

estim ni kampuni inayobebwa sana na konoike construction na ina uadilifu wa kijapan. bahati mbaya wanasiasa wanashinda pale kwenye ofisi zake za mikocheni wakilia njaa. wengine wakiomba awajengee nyumba haswaa mary nagu
 
idadi ya majengo yanayojengwa humo ndani ni kumi na nne. kuna mtu ataingia pale kijasusi na ataleta kila kitu hapa.
 
kichuguu hili jambo la mwakimbi ni kweli kabisa majuzi nimepita sehemu hiyo akili za juu zikashuka chini na chini lkwenda juu!!!ila nilipata kuuliza watu wa pale wakasema nio msaada wa wazirimkuu wa japan alimwahidi wakati akiwa anasaka wafadhili wa kusaka madini na shanga hapa tanzania !!!!ila jamani ile si ikulu ina vibanda 10 kidogo kama ::BARAKUDA"" RESORT CHA MTOTO,,,ILA MZEE NATUMAINI ZI PESA ZA EPA ZINAZORUDISHWA!!!!!!
EWE TANZANIA UNIOKOE NA DHAMBI ZILE
JAMANI!!!!
 
Back
Top Bottom