Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Jana nilipita sehemu inayoitwa Msoga kama kama kumi ukitokea Chalinze, kwenda Arusha. Kuna kitongoji kinaitwa vicoba hapa ndo nyumbani kwa Jakaya Kikwete.Kuna ujenzi wa majengo kama 14 yanajengwa pale. wenyeji wanasema inajengwa ikulu pale.

Muungwana Rais, kila Jumamosi anakuja kukagua ujenzi.Inasemekana kuwa anakuja kupitia Mlandizi, anafika Vocoba then anarudia Bagamoyo kupitia kwa wazee wake pale Bagamoyo.

Pia kuna ujenzi wa majengo mawili ya ghorofa nne, yamejengwa na national housing nje kidogo ya Chalinze, inasemekana ni kwa ajili ya wafanyakzi watakao kuwa wanafanya kazi ikulu ya Vicoba.

Je, ni nani anafadhili ujenzi wa ikulu mpyaa Vicoba? Kama ni serikali iko kwenye bajeti?

Isije ikawa yale mambo ya Mobutu Sesseko kuhamishia ikulu kule Gbaolite!

Mwenye information naomba anielimishe.
 
jana nilipita sehemu inayoitwa msoga kama km kumi ukitokea chalinze, kwenda arusha. kuna kitongaji kinaitwa vicoba hapa ndo nyumbani kwa jk. 1. kuna ujenzi wa majengo kama 14 yanajengwa pale. wenyeji wanasema inajengwa ikulu pale.

muungwana jk, kila jumamosi anakuja kukagua ujenzi.inasemekana kuwa anakuja kupitia mlandizi, anafika vocoba then anarudia bagamoyo kupitia kwa wazee wake pale bagamoyo.
pia 2. kuna ujenzi wa majengo mawili ya ghorofa nne, yamejengwa na nationa l housing nje kidogo ya chalinze, inasemekana ni kwa ajili ya wafanyakzi watakaoukuwa wannafanya kazi ikulu ya vicoba.

je ni nani anafadhili ujenzi wa ikulu mpyaa vicoba? kama ni serikali iko kwenye bajeti?

isije ikawa yale mambo ya mobutu seseko kuhamishia ikulu kule gbaolite!
mwenye information naomba annielimishe

..hizo point mbili zina ukweli?

..ninachofahamu ni ujenzi wa makazi yake pale, kitu ambacho ni cha kawaida.
 
anapata wapi mabilioni yote hayo kujenga makazi ya kifahari katika taifa maskini kama hili? mbona nyerere hakuweza kufanya haya kwa miaka yote 24 aliyokaa ikulu? wale waliosema jk ni nyereree na lowasa ni sokoine nielemisheni
 
Mwikimbi,
Nani kakwambia Mwungwana hana hela? Yale mafaili ya Mangula yangefunguliwa pale kwenye kikao cha CCM cha kuchagua rais wabongo tungebaki hoi!
 
Tunataka Rais akistaafu aweze kuwa na nyumba ya kuishi na wakati mwingine siyo vibaya serikali ikamjengea kwa uwazi bila kificho. Je kuna anayejua huu ujenzi wa kasi wa vicoba Msoga nani anaufadhili? Ni taratibu za kawaida? Nikijibiwa maswali haya sina wasiwasi nao. Mjue kuwa muungwana ana miaka miwili tu Ikulu.
 
jana nilipita sehemu inayoitwa msoga kama km kumi ukitokea chalinze, kwenda arusha. kuna kitongaji kinaitwa vicoba hapa ndo nyumbani kwa jk. kuna ujenzi wa majengo kama 14 yanajengwa pale. wenyeji wanasema inajengwa ikulu pale.

muungwana jk, kila jumamosi anakuja kukagua ujenzi.inasemekana kuwa anakuja kupitia mlandizi, anafika vocoba then anarudia bagamoyo kupitia kwa wazee wake pale bagamoyo.
pia kuna ujenzi wa majengo mawili ya ghorofa nne, yamejengwa na nationa l housing nje kidogo ya chalinze, inasemekana ni kwa ajili ya wafanyakzi watakaoukuwa wannafanya kazi ikulu ya vicoba

je ni nani anafadhili ujenzi wa ikulu mpyaa vicoba? kama ni serikali iko kwenye bajeti?

isije ikawa yale mambo ya mobutu seseko kuhamishia ikulu kule gbaolite!
mwenye information naomba annielimishe

Huenda ikawa kweli, but let us not judge this book by its cover. Any one with detailed facts please bring them here. Ikiwezekana na ramani/picha ya hiyo project nzima ili tuweze kujua ni residential au ni IKULU.
 
Hili ni jambo zito kidogo lakini ngoja kwanza facts zimwagwe hapa ndipo nilivae. kama ni kweli lina mwelekeo mbaya sana. ndiyo maana uharaka wa mabadiliko ya katiba nchini mwetu ni wa muhimu sana kuhakikisha kuwa usimamizi wa matumizi ya fedha zetu unaondolewa kutoka executive branch. Huwezi kumpa mtu pesa zako atumie halafu ukamtaka asimamie kuhakikisha kiwa anzitumia kulingana na matakwa yakoi. Ukimpa ni lazima uhakikishe msimaizi wa matumizi hayo siyo mshikaji wake.

BTW: Kulingana na background yake, gia iliyomwigiza Ikulu, na utendaji wake baada ya kuingia Ikulu, sina wasiwasi kuwa kama kweli ujenzi huo upo basi ni kwa ajili ya makazi binafsi ya Kikwete. lakini ngoja tupate facts kwanza.
 
..HAYO MAJENGO TANGU MSINGI ULIPOANZA MARA TU ALIPOINGIA MADARAKANI TULILETA TAARIFA HAPA.....PALE NI MAKAZI YAKE BINAFSI...PALE NDIPO ASILI YA UKOO WAO..BAGAMOYO WALIHAMIA TU...!!!....ANAJENGA MAKUMBA PALE ILI UKOO WAKE WOTE UHAMIE PALE.....SANJALI NA HUO UJENZI PIA MAKAZI YAKE YA MIGOMBANI STREET ALIBOMOA NA KUNUNUA KIWANJA CHA JIRANI YAKE PALE ..NATAYARI JUMBA KUBWA LIMESIMAMA PALE...

UJENZI HUU NI NJE YA UJENZI AMBAO HUFANYWA NA SERIKALI KAMA STAHILI YA RETIREMENT PACKAGE AMBAO KWA KAWAIDA KIKWETE ATASTAHILI TENA KUJENGEWA NYUMBA NA OFISI SEHEMU ATAKAYOCHAGUA PALE ATAKAPOKARIBIA KUSTAAFU..MWAKA 2010.......AU KAMA BAHATI NBAYA HATAWEZA KUENDELEA NA MADARAKA KWA SABABU YOYOTE.......

ZILE NYUMBA ZA NATIONAL HOUSING PALE ZIMEJENGWA KATIKA MKAKATI WA KUHAMISHIA MAKAO MAKUU YA MKOA WA PWANI PALE CHALINZE ....BAAADA YA KUONEKANA WAZI KUWA KIBAHA HAICHANGAMKI AU INAKARIBIA KUMEZWA NA DAR ES SALAAM......

..MOJA YA WASIMAMIZI WA MRADI WA MAJUMBA YA KIKWETE NI RAFIKI YAKE WA TANGU ZAMANI ..BAGAMOYO...BWANA SUBASH PATEL,,,,,ambaye pia humsimamia baadhi ya kazi zake nyingine.........hivi karibuni kwa heshima ya kikwete bwana subash alikarabati shule ya msingi aliyesoma kikwete.....hapo kijijini.....

UKWELI NDIO HUO!
 
Mimi naona hizo hela za ujenzi wa hayo majumba angesaidia japo vijana wa Chalinze either kuwasomesha au hata kuwapa miradi ya ukweli ambayo itawasaidia kuwatoa maishani...
kuliko sasa wanavyo taabika kwa kuuza machanuo na vyungu kwenye mabasi pale chalinze stand....
 
..HAYO MAJENGO TANGU MSINGI ULIPOANZA MARA TU ALIPOINGIA MADARAKANI TULILETA TAARIFA HAPA.....PALE NI MAKAZI YAKE BINAFSI...PALE NDIPO ASILI YA UKOO WAO..BAGAMOYO WALIHAMIA TU...!!!....ANAJENGA MAKUMBA PALE ILI UKOO WAKE WOTE UHAMIE PALE.....SANJALI NA HUO UJENZI PIA MAKAZI YAKE YA MIGOMBANI STREET ALIBOMOA NA KUNUNUA KIWANJA CHA JIRANI YAKE PALE ..NATAYARI JUMBA KUBWA LIMESIMAMA PALE...

UJENZI HUU NI NJE YA UJENZI AMBAO HUFANYWA NA SERIKALI KAMA STAHILI YA RETIREMENT PACKAGE AMBAO KWA KAWAIDA KIKWETE ATASTAHILI TENA KUJENGEWA NYUMBA NA OFISI SEHEMU ATAKAYOCHAGUA PALE ATAKAPOKARIBIA KUSTAAFU..MWAKA 2010.......AU KAMA BAHATI NBAYA HATAWEZA KUENDELEA NA MADARAKA KWA SABABU YOYOTE.......

ZILE NYUMBA ZA NATIONAL HOUSING PALE ZIMEJENGWA KATIKA MKAKATI WA KUHAMISHIA MAKAO MAKUU YA MKOA WA PWANI PALE CHALINZE ....BAAADA YA KUONEKANA WAZI KUWA KIBAHA HAICHANGAMKI AU INAKARIBIA KUMEZWA NA DAR ES SALAAM......

..MOJA YA WASIMAMIZI WA MRADI WA MAJUMBA YA KIKWETE NI RAFIKI YAKE WA TANGU ZAMANI ..BAGAMOYO...BWANA SUBASH PATEL,,,,,ambaye pia humsimamia baadhi ya kazi zake nyingine.........hivi karibuni kwa heshima ya kikwete bwana subash alikarabati shule ya msingi aliyesoma kikwete.....hapo kijijini.....

UKWELI NDIO HUO!

Subash yule wa jengo la UVCCM?
 
I can see now kwa nini mafisadi wanavuruga nchi usiku na mchana bila ya wasi wasi wowote.. Kama ni makazi binafsi ya muungwana as retirement package hivi kuna jinsi ambayo serikali inamchagulia aina ya nyumba atakayojengewa au muungwana mwenyewe anaamua tu wajenge mahekalu atakavyo?? Najaribu kuangalia nyumba ya Mzee ruksa pale mikocheni naona ni ya kawaida sana...Sasa huu ujenzi wa hapo chalinze unanistaajabisha sana....Jamani tuelimishane huenda nchi imeiingiliwa na jinamizi tuamshane mapema!!!
 
kipanga.. Kama ni makazi binafsi ya muungwana as retirement package hivi kuna jinsi ambayo serikali inamchagulia aina ya nyumba atakayojengewa au muungwana mwenyewe anaamua tu wajenge mahekalu atakavyo?? said:
.......nyumba ya kustaafu ya rais huwa haijengwi mara tu anapoingia madarakani....ujenzi wake huanza pale anapokaribia kustaafu........

..ni subash patel haswaa yule wa jengo la vijana ...na taarifa za mwanzo ni kuwa huyu pia anapewa mgondi wa chuma..............na hata ule mradi wa makaa ya mawe alikuwa anautaka ..kupitia kampuni ya mms.....

..nchi hii kuna unafiki sana ..tena hasa huyu mkuu wa kaya kazidi unafiki..kwa taarifa ni kuwa hakuna deal inayoendelea ambayo wahusika hawafahamu.......
 
Sina hakika kama ni huyohuyo ponjolo au mwingine lakini jina linafanana na hilo,km 22 toka Chalinze kwenda Bagamoyo kupitia kijiji cha Talawanda,kabla hujafika s/msingi Magurumatali jamaa wamemegewa ardhi kubwa ya kufa mtu,bango lao linasema wanatafiti kama kuna uwezekano wa kupata material za saruji,wanakijiji wanasema patajengwa kiwanda cha saruji,hata haieleweki ila ardhi imechukuliwa.Mitaa yote hiyo ni mitaa ya muungwana na jamaa zake.
 
Wakwere ninavyowajua, basi watakuwa hawalipwa, si wanamwita muungwana wa ukaee, so mwana wa ukae karudi na friends kila kitu dezo tu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom