David Nkulu
Member
- Jul 25, 2008
- 53
- 1
Kwa mtazamo wangu naona hapa tunahitaji data kamili kabla ya ku judge kama pana makosa yanayotendeka au la. Kwa walio karibu, ni kiasi cha kusoma mabango ya ujenzi inatosha. Ikiwa hiyo haipo, kuna mtu au watu waliotoa kibali cha ujenzi, waliochora ramani na wanofuatlia ujenzi. Itakuwa ni kushusha heshima ya mjadala ikiwa kama hayo ni majengo ya kawaida yasiyohusika kwa namana yoyote na utumiaji mbaya wa pesa!