Kam ukifuatisha kanuni ya matumizi ya pesa utaona kwamba hao unaosema wanakula pesa yako, pengine ni 10% to 15% tu ya pesa yako...
Pesa nyingi huwa inapotea kwenye matumizi ya kawaida na matumizi ya lazima, huku ndipo hela zetu huliwa na watu waliopo huko...
Mathalani genge au duka ambalo umezoea sana kufanya manunuzi, fundi gari uliyemzoea na anakutengenezea gari lako yeye tu, msusi au mtengeneza nywele, kucha n.k wanaokutengeneza kila wiki 2 n.k n.k