masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,376
- 19,263
Mambo mrembowa kwanza kabisa wanangu
kisha wazazi
kisha ndugu zangu watumbo moja la mama
na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash
ukiacha na hizi case zingine kama misaada na sadaka
ila hiyo ndo list yangu ya mda wote
cha mgema??Cha mlevi huliwa na mgemaView attachment 3585870
Huliwa na wanaecha mgema??
Thibitisha kuwa wewe si mrembomimi sio mrembo
ila poa viipo
yupo namba moja kabisa🥰🥰🥰Kipenzi changu
Watoto
Ndugu zangu wa tumbo moja
salamaleko m wekezaji.nasomesha watoto wa kanji
yupo namba moja kabisa🥰🥰🥰Kipenzi changu
Watoto
Ndugu zangu wa tumbo moja
Dah ila wanawake bhn 😞 😔 😔Wa kwanza kabisa wanangu kisha wazazi
kisha ndugu zangu watumbo moja la mama
Na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash
Ukiacha na hizi case zingine kama misaada na sadaka
Ila hiyo ndo list yangu ya mda wote
Huliwa na wanae
Kabisaaaaa .yupo namba moja kabisa🥰🥰🥰