Pesa ya kujikim haijatolewa mwezi wa pili sasa toka walimu wa ajira mpya zitangazwe tar 12.4.2017

victer

Member
Jun 23, 2012
58
95
Pesa hii ni haki yao lakn mpaka sasa wanaanza mwezi wa pili makazini bila kulipwa pesa yao ya kujikim serikal inafikiria nn juu ya hili?? kwenye tangazo la ajira lilionesha matumaini kua pesa ipo na atakaechukua pesa ya kujikim na kuondoka atachukuliwa hatua kali.. lakn mpaka leo tar 17.6.2017 hamna pesa ya kujikim...
 

expedition

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
690
1,000
wao mbona hawalalamiki?
kila anaelalamika ukichunguza vizuri utagundua anawasemea ila sijaona ata mmoja anaelalamika hajapewa bali utasikia hawajapewa.
Sie tutaamini vipi hawajapewa wakati wao wenyewe hawalalamiki kuhusu kutokupewa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom