pesa utajiri si kila kitu!!!

pesa utajiri si kila kitu!!!

pageup

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
156
Reaction score
59
attachment.php

furaha ya kweli katika maisha haya unapokuwa upo karibu na mungu aliekuumba!!!:yo:
 
Attachments

  • 539273_569669849725051_1003965432_n.jpg
    539273_569669849725051_1003965432_n.jpg
    52 KB · Views: 1,542
attachment.php

furaha ya kweli katika maisha haya unapokuwa upo karibu na mungu aliekuumba!!!:yo:

Uhakika, inaashiria vizuri nijambo busara Pia hushuhudia wandugu zetu wakiimani huwa wana sali kutoa
ishara za mungu mtakatifu bw. katika nyanja mbali mbali: Hayo ni matendo mazuri ya kumtambua Mwnyezzi Mungu
na kumshukuru popote pale na wakati wowote kutoa shukran na utiifu... God bless Ahlu al-kitabu (the Book owners)

attachment.php

furaha ya kweli katika maisha haya unapokuwa upo karibu na mungu aliekuumba!!!:yo:

AMINA ! Lakini unadhani wenye nazo wanawaza kwa Busara kama wewe? La hasha, na ndiyo maana hata maandiko ya Kitabu kitakatifu BIBLIA yanawaonya sana hawa matajiri, maana Ukiwa na Pesa mara nyingi kiburi kinainuka juu ya watu wa MUNGU na hata kwa Mungu mwenyewe kwa kuona yeye kila jambo lazma liwezekane. LAKINI MWISHO WA YOTE HAYA NI KIFO HAIJALISHI LINI, KIFO GANI NA WAKATI, KILA NAFSI HAI ITAONJA MAUTI.MUBARIKIWE WATU WA MUNGU NA DUMUNI KATIKA KUYATENDA YALIYO MUNGU.
 
Shukraani ina njia nyingi Lakini njia zote zinaelekea kituo kimoja KWA MUUMBA!!
 
AMINA ! Lakini unadhani wenye nazo wanawaza kwa Busara kama wewe? La hasha, na ndiyo maana hata maandiko ya Kitabu kitakatifu BIBLIA yanawaonya sana hawa matajiri, maana Ukiwa na Pesa mara nyingi kiburi kinainuka juu ya watu wa MUNGU na hata kwa Mungu mwenyewe kwa kuona yeye kila jambo lazma liwezekane. LAKINI MWISHO WA YOTE HAYA NI KIFO HAIJALISHI LINI, KIFO GANI NA WAKATI, KILA NAFSI HAI ITAONJA MAUTI.MUBARIKIWE WATU WA MUNGU NA DUMUNI KATIKA KUYATENDA YALIYO MUNGU.
,Haki

Heshima na Taadhima kwako na wana wenye imani za dini zote za mbinguni,
SIMPLE, HAKUNA WAKUJISIFU WALA KUWEKA UDHAMINI wapepo au kukubaliwa ibadaa zako.... kama itakuwa
katika migongo ya wengine au hesabu za wanyonge. Wote siye tunatakiwa kutenda mazuri,mema na kukubali
yaliyo teremshwa na MUNGU, ili tupokewe mapokezi mwafaka huko tuendako. HEAVEN PARADISE Pepo ilo juu.amina
wote waongoke
 
ahimidiwe bwana Mungu wa Israel, ni jambo jema kumuabudu
 
wana boda boda hao wa majuu, wanaungama dhambi zao,
 
Back
Top Bottom