Pesa sabuni ya roho

Pesa sabuni ya roho

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
Kazi ni kazi - Machimboni kwa Mzee Kabila

c24_18084369.jpg
 
unakuta mtu anapata shida kama hivi akirudi home mke badala ya pole anampokea kwa maneno,
wanaume nawaoneeni huruma sometimes

mwanaume anachojali ni kupata tu mtu wa kumfichia mkia wake, anyway nimeipenda avatar yako
 
ndo maana wakitoka tu hapo, ni kukamua larger mpaka hela zote ziishe! Ni kazi ngumu sana.
 
hahaaha wapo hiyo,nilishawahi kuona mtu anachimba msingi wa nyumba mahala hlf hela yote anahonga wale wamama wanaowauzia chakula site.

We ulitaka zifanye nini? Shida yake labda ilikuwa kuwapata wale wakina mama wauza chakula, hivyo lengo limetimia. Likija lengo la ada ya shule hatawapa akina mama atalipa ada. Hivyo hivyo kila jambo na bajeti yake. AU VIPI, NIMECHEMSHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watu kama awa sio wanatafuta pesa wakafanye anasa ni inabidi wafanye hivyo ili mkono uweze kwenda kinywani
 
Back
Top Bottom