pesa ndo kila kitu


Ginner

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
1,157
Likes
316
Points
180
Age
27
Ginner

Ginner

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
1,157 316 180
John alioa mke
wa kichaga..siku moja juma akaenda nyumban kwa
john..john mwnyw hakuwepo akamkuta mke wa john
peke yake..akamwambia,shemej naomb unionyshe
matit yako ntakupa laki tano...mke wa john akaona aah
kuonysh 2 ki2 gan tena kwa laki tano,akafungua sidiria
juma akaona chuchu nzur za kufa m2..akampa LAKI
TANO..kabl mke wa john hajafunika juma
akamuwah,.naomb niyaguse tu,laki tano nyngne hii
hapa,akatoa LAKI TANO akaweka mezan..vishawsh
vikawa vikali kwa mwanamke wa kichaga akakubal
shemejie ayashke..juma akayashka na kumwambia km
vp nionyesh na chup yako kabisa LAKI TANO nyngne hii
hapa..akaonyeshwa..juma hakuridhka,akaweka LAKI
TANO nyngne mezani na kumuomb aivue kbs ile
chup..mke wa john akaivua..mzuka ukampanda zaid
juma akamwmbia,shemej km vp 2malizie kbs
ntakuongezea MILION MOJA..baad ya kubsha kwa mda
mke wa john akasalim amri na kuvunja amri ya sita na
juma..baada ya tendo juma akatoa M.MOJA akaaga
akaondoka..mke wa john akaumia sana roho kwa
kumsalit mumewe lakin alipofikiria MILION TATU
alizopata tena fasta akaona poa 2..john aliporud
nyumban akamuuliz mkewe,.vp juma alikuja leo??
Mkewe akajib kwa kutetemeka, "NDIYO"...John
akamtwanga swal jingne, "VP,AMEKUACHIA MILION
TATU NINAZOMDAI???"
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,015
Likes
174
Points
160
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,015 174 160
Jamani tamaa mbaya! Ginner! IKAWAJE BAADA YA HAPO? Endelea.
 
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
647
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 647 280
Hahahaha! Tamaa mbaya kweli.
 
Ginner

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
1,157
Likes
316
Points
180
Age
27
Ginner

Ginner

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
1,157 316 180
Hahahha tulieni mngoje party two...hii ni kama muvy ya kanumba
 
Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
2,186
Likes
17
Points
135
Age
29
Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
2,186 17 135
Nikijua urafiki kushneyy,
 

Forum statistics

Threads 1,235,910
Members 474,863
Posts 29,240,285