Pesa kwenye Gesi na Mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa kwenye Gesi na Mafuta

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wimbi la mbele, Jun 22, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani kama mjuavyo hii ni JF Business Club sasa kila kukicha tunaangalia namna ya kuongeza kipato

  sasa hebu tuambiane hivi mtu anaweza vipi kuingiza pesa kupitia hii windfall ya uzinduzi wa gesi na mafuta Tanzania?

  Procurement tusijidanganye hawa jamaa wanakuja na networks zao za kutisha za kununua vifaa vyao etc

  sasa mliopo ndani ya Industry naomba mtupatie mwangaza on how local entrepreneurs can make money

  [​IMG]
   
 2. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  bump.....
   
Loading...