Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Pesa kidogo tu ushaanza kula mikate ya brown





😂 duuh hii kali..kumbe nimemsema mtu humu!!😂 ikabidi ununue hakukua na namna..hiyo ni pesa kidogoHuyu mimi 😆 mpaka kuna siku yakanikuta supermarket moja nikauziwa nido efu 14 badala ya efu 11/12


Pesa kidogo tu, unaanza kutusimanga tuliopanga chumba kimoja eti tunaishi stoo 🤣🤣pesa kidogo chumba na sebule umeanza kuita appartment
HahahaaaPesa kidogo tu ushaanza kumwita Mungu 'gosh' utasikia ooh my gosh![]()
🤔ooh no my love is that yu?Pesa kidogo tu mkate unapaka Jam.
GENTAMYCINEPesa kidogo unaanza kuita wengine mapopoma
Pesa kidogo tu unaanza kuongea lugha ya mabeberuooh no my love is that yu?


Aah Tafadhali sana usichonganishe na GENTAMYCINE
Hahaha lolPesa kidogo tu unaacha kupiga punyeto.