Pesa kidogo challenge

Pesa kidogo challenge

Pesa kidogo tu umefuta tiktok na insta ukajiunga Twitter!
Ulivyokua kichwa m bonyo Twitter unaanza ita twiraa
 
Pesa kidogo tu, umeanza kuweka 4wheels gear Kila ukiingia katika barabara ya vumbi.
 
Pesa kidogo tu umefuta Facebook umedownload linkedin
 
Pesa kidogo tu nimeacha kula kwa mama ntilie now five star 🌟 🌟 🌟🌟🌟
 
Pesa kidogo unaanza kukataa kwenda kijijin kwenu
122593451_2740797049471953_1777710575627596097_n.jpg


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom