Hii ndio imezagaa sana,utawasikia"Tatizo vijana hawajitumi wanafikiri sisi tuliofanikiwa tumepata kiurahisi tu kumbe tulikuwa hatulali tunafocus kwenye future plans ndio ikaleta results"
hii ya supu ndio inanichekeshaga sana,utamkuta mtu kaamka na buku jero halafu anafosi kwenda kula supu ili mradi tu aonekane ameendelea,akitoka hapo anashika tooth pick kuchokonoa meno.