Pesa isikunyime haki ya kupenda

Pesa isikunyime haki ya kupenda

Endelea kujitoa ufahamu ukiamini kuna mapenzi pasipo pesa.

sjui njaa ikiuma mtanunua chakula na makaratasi
 
Kizazi cha Leo hii ni kizazi kilichotawaliwa na ngono,uvivu na anasa na wala hakijui upendo ni nini. Angalia hata badhi ya comments hapa zinaonyesha.

Ndio maana hata ndoa za siku hizi zimekuwa ni magizo tu yanayosindikizwa na kula ubwabwa na kucheza kwaito.
 
Umenena mkuu
 
Usijindanganye kwa sasa mapenzi ni pesa tu,wanawake wasasaiv nipasua vichwa naongea nilichokishudia kwa rafik yangu ambaye alikua ameajiliwa na mshahara wake ulikua mkubwa sana mke wake aliishi maisha mazur sana kula Kuku kula kila baada ya sku1 kwake ulikua kawaida mpaka kufika hatua ya kulalamika kua Kuku kawakinai lakin Jamaa yangu ikafika sehemu akafukuzwa kazi maisha yakaendelea badae akayumba kiuchumi uwez amin mwanamke vituko anavyomfanyia mke wake ni mwalimu inafika jamaa anatukanwa mpaka bas jamaa akiwaza kuachana nae anawaza watoto wake kua akiwachanganya na mama mwingine watateseka.Yan had jamaa akiwaza anahis kuchanganikwa.So kwa sasa kumpata Mwenye mapenz ya kweli nivigumu sana kwan kabla ya hapo jamaa apipendwa sana na kuonyeshi mapenz ya kila namba.
Huyo mwanamke ni timu maslahi...hakumpenda jamaa ila alipenda comfort ya pesa zake. Mwanamke akipenda siku zote huwa na msimamo thabiti na huruma ya kweli.
 
Kizazi cha Leo hii ni kizazi kilichotawaliwa na ngono,uvivu na anasa na wala hakijui upendo ni nini. Angalia hata badhi ya comments hapa zinaonyesha.

Ndio maana hata ndoa za siku hizi zimekuwa ni magizo tu yanayosindikizwa na kula ubwabwa na kucheza kwaito.
hakika!
 
Siku mkwanja ukikata ndo utajuwa kuwa kuku mwaesi hakimbizwi gizani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom