Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,941
Sorry mkuu sio kwa jeuri,nlkua najaribu tu kukufahamishaTaratibu nimeuliza sivema kunijibu kwa jeuri unaweza kunielekeza tu kwa elimu uliyo nao, shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mkuu sio kwa jeuri,nlkua najaribu tu kukufahamishaTaratibu nimeuliza sivema kunijibu kwa jeuri unaweza kunielekeza tu kwa elimu uliyo nao, shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo ujue maana ya kwaresima. Mwezi wa kukaa kimya, kujutia makosa yetu, kutoa sadaka bila kujulikana, kufunga kwa siri bila kujitangaza na kusaidia wenye shida ka siri bila kujitangaza. Huo ndo ukristo. Ukiona mtu anaenda kwenye media kujitangaza eti katoa msaada, huyo si mkristo bali anatafuta sifaaaaa.Ni kweli mkuu lakini najiuliza hata kama ni maombolezo lakini si ni mwezi wa kufanya matendo ya huruma na kutubia makosa nilitegemea kuona shamra hizi kwenye vyombo vya habari lakini hali imekua siyo kabisa ni hivi juzi tu nikiwa kijiwe na washkaji ndio nimejua kuna mfungo nikastaajabu mbona hauna shamrashamra hata sokoni kupo kupo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app