safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,194
Pesa inanunua mapenzi pia.Kuna nadhari nyingi kuwa wanawake wanapenda pesa, yeah ni kweli kwa sababu hata caring ambazo utataka kumpa mpenzi wako ni pesa, maua ni pesa, dinner ni pesa, gifts ni pesa sijui lodge ni pesa nauli unayo mpa ni pesa.
But huko kote unakuwa unanua ngono, mapenzii yanakuja baadaye baada ya kununua ngono sana, ndio mwanamke anaanza ku generate love kwako, mwanamke ni kiumbe kinachoongozwa na hisia ili uweze kuteka hisia zake ni lazima utumie kwanza ushawishi mbali mbali ambako kote huko ni pesa.
Enyi vijana wenzangu tuendele kutafuta pesa ili tununue kwanza ngono kutengeneza mapenzi na hisia kwa wapenzi wetu,la sihivyo utabaki kusema wanawake wanapenda pesa kumbe hujawajulia bado.
N:B Angalizo hapa siwaongelei wadangaji na ma sley queen naongelea wanawake wanaojielewa(wife material)
Kuna ambao wanakupenda kwa sababu ya pesa zako.
Kuna ambao wanakupenda kwa sababu ya tabia yako.
Kuna ambao wanakupenda kwa sababu ya muonekano wako.
Hakuna ambae hatokupenda kwa jinsi ulivyo.
Kila mtu atakupenda kwa jinsi ulivyo,kwa maana huwezi kumpenda mtu ambaye hayupo ama humjui kabisa.
Ila utampenda mtu ambaye yupo na unamjua na utampenda kwa mujibu wa vile alivyo.
Sasa mtu ukimpenda kwa sababu ya weupe wake maana yake umempenda kwa sababu yule mtu ana weupe,ni sawa na kumpenda mtu kwa sababu anapesa maana yake umempenda kwa sababu ana pesa.
Hivyo weupe na pesa vinafanya kazi moja ya kumvutia huyu mwanamke kwa huyo mwanaume.
Ama ukimpenda mtu kwa sababu ya tabia yake maana yake ile tabia anayo ndio maana umempenda,kama ambavyo unampenda mru akiwa na esa umempenda kwa sababu ile pesa anayo.
Hivyo hapo tbia na pesa vinafanya kazi sawa.
Huwezi kusema kuwa pesa hainunui mapenzi.
Pesa inanunua mapenzi kama ambavyo tabia inanunua mapenzi.
Pesa inanunua mapenzi kama ambavyo urefu unanunua mapenzi.
Pesa inanunua mapenzi kama ambavyo utanashati wako unanunua mapenzi.
Kwa maana pesa inaweza kuwa chanzo cha mtu fulani kukupenda kama amabvyo vitu vingine visivyokuwa pesa vinaweza kuwa chanzo cha mtu fulani kukupenda pia.
PESA INANUNUA MAPENZI,PESA INANUNUA MAPENZI.