Pesa bwana...!!!

Kajamaa kako juu kwa kweli nilichomfurahia ni kuwa anajitahidi kuongea English akiwa na wenyewe kosa ni kuingiza slang mpaka anaboa. haya makoo yetu ya kobongo yamekuzwa kwa kande sasa ukiongelea kwenye koo utadhani unagomba/ kutukana
 
Hahahaaaa hahahahaaaa hahhahaaaaa Wapoti lol ni kama mvimba macho akiongea kiingereza hatujaachana sana kumbe
 
Last edited by a moderator:
kawaida sana zingekuwa za Diamond kama jina lake sawa aoni mwezake Davido ngoja nimpe picha.
 
Diamond = Diamond
Davido = Davido
 
nassibu ni limbukeni. mbona j dee anafanya mambo makubwa tu ila hana maskendo ya k**nge kama yake. anaboa sana.
 
Ukishauza nafsi kwa grand master lazima uwe na mijisifa watu waone...
 
nassibu ni limbukeni. mbona j dee anafanya mambo makubwa tu ila hana maskendo ya k**nge kama yake. anaboa sana.

Diamond = Diamond
Jay dee = Jay Dee
Never will diamond be Jay dee, and vice versa.
 
Kajamaa kako juu kwa kweli nilichomfurahia ni kuwa anajitahidi kuongea English akiwa na wenyewe kosa ni kuingiza slang mpaka anaboa. haya makoo yetu ya kobongo yamekuzwa kwa kande sasa ukiongelea kwenye koo utadhani unagomba/ kutukana

Ha ha ha ni kweli yani hata huwa haeleweki anachoongea kabisa si aongee kawaida ataeleweka siku kahojiwa na sporah hata sikumuelewa slang awaachie manigass
 
Ukishauza nafsi kwa grand master lazima uwe na mijisifa watu waone...

Hajafikia kipande hiyo bado! Japo anatamani sana awe huko......hajui tu ni potential yake itakayo fanya aitwe kule na si kujipigia promo za kwenda!

Na that kid hana pure heart, he know nothing about friendship and brotherhood! He can't make it to a better man b'se ya vijitabia vyake!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…