Pole sana, siku nyingine uwe makiniM nishatapeliwa lak i nilifanyiwa interviw nkaambiwa nilipe lak jtatu niende kazn nkarud nyumban nkakopa laki tena kwa riba ya elf 50 nkawatumia lak jumatatu nmefika akiba pale nampigia kasem nmsubir wapo shel nilikalishwa ad sasa sita badae hawapatikan ad leo nlichanganyikiwa ad leo naogopa ku apply kaz tuwen makin
Kwel nduguPole sana, siku nyingine uwe makini
Tukisubiri serikali iwashughulikie wataendelea kutapeli watu kila siku. Kinachotakiwa mtu ambaye ametapeliwa kuanza kushughulika nao cha msingi ni kuwa na ushahidi mzuri.Hivi hawa jamaa ni kwamba hawaonekani na serikali?
Au nao ni mradi wa wakubwa kama tulivozoea kuambiwa kwa kila kinachoumiza wananchi
Hawa jamaa kumbe wanapokea mpaka mafao duhHAWA JAMAA, NI WABAYA SANA , HUU MWAKA SASA KAMPUNI YETU INATUMA PESA ZA MAFAO KWAO , LAKINI MPAKA SASA BADO HAWAJAWEKA , YANI HAWAFAI ,UKIFIKA PALE BOSS YUPO NDANI ILA WANAKWAMBIA HAYUPO. YANI HAWA NI JIPU. TENA KUNA MFANYAKAZI WAO ANAITWA NEEMA ANA ROHO MBAYA SANA KWA KWELI
Duh aisee pole sana..We endelea tu ku apply kazi wala usiogope ila ukiambiwa habar za pesa ndo ukimbie bila kugeuka nyumaM nishatapeliwa lak i nilifanyiwa interviw nkaambiwa nilipe lak jtatu niende kazn nkarud nyumban nkakopa laki tena kwa riba ya elf 50 nkawatumia lak jumatatu nmefika akiba pale nampigia kasem nmsubir wapo shel nilikalishwa ad sasa sita badae hawapatikan ad leo nlichanganyikiwa ad leo naogopa ku apply kaz tuwen makin