Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 385
Usishauriwe HP mkuu....kwema mkuu...? pc gani unapendekeza kucheza izo game kwa bajeti ya 800,000?
Najutaa nilikuwa na dell core i5 nvidia geforce 520 kama ivo... Ilikuwa bomba sana kuliko hili li HP pumbaaav