PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Usishauriwe HP mkuu....
Najutaa nilikuwa na dell core i5 nvidia geforce 520 kama ivo... Ilikuwa bomba sana kuliko hili li HP pumbaaav
Hapana aisee hio PC yako ni kali sana, hujaifanyia tu configuration anza na hizo drivers kwanza, ikikubali hutatamani pc nyengine kwa muda mrefu tu.
 
kwema mkuu...? pc gani unapendekeza kucheza izo game kwa bajeti ya 800,000?
Kama unaenda brand new hapo unapata tu i3, utacheza hizo games ila kwa quality ndogo. Angalia i3 za kisasa kama 7100u ama 8130u au ukikosa kabisa 6100u sio mbaya sana.

Kwa used itategemea na deal utakalopata.
 
Update unadownload kusha unainistall moja kwa moja kwenye installation foder ya game lako.


Kuhusu vram ni hardware inayohusika na maswala ya ku process video na graphic kwenye pc
mbn mkuu hizi patch nikijaribu kudownload link zinagoma zinanipeleka sijui wapi,waweza nisaidia link na namna ya ku install maana nime install patch moja tu ile ya kubadili majina ya timu kwenda majina halisi
 
Wakuu msaada kufanyia setting pad vibration, nimehangaika sana you tube bila mafanikio. Pad zangu ni dual shock natumia kwenye pc
 

Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom