Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,889
- 38,528
- Thread starter
- #201
poa patch nayo jipange gb4+. Kwa sasa version zishafika 4.Hapana na install nafanya mpango wa new patch mkuu
Bila kusahau option file.
Ukitaka kufaidi vizuri download na Multi-switcher. Mb 300+
Hii ni scoreboard na logo za ligi mbali mbali kuanzia bundasliga, serie A. Laliga. French league 1 na liga nos. Eredivise. Na EPL.
Hii inaswitch automatic kutokana na ulivochagua timu. Yani mfano ukichagua kucheza timu zote kutoka EPl. Basi logo na scoreboard itatumika ya EPL.
Halafu hii ni simple kuinistall .ukisha download na kuextract unamove to file kulipeleka kwenye pes 2017 main folder kisha unarun game kwa kutumia multi-switcher shortcut.
Viwanja pia download ili vifike walau 42. Ila hivi utavikuta ndani ya patch.
Kumbuka pia kudownload Dpfilelist generator v 1.6 by baris.