PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

WAKUU NINA PES 18 INACHEZA KWA KEYBOARD TU UKCONNECT NA USB CONTROLLER (PAD) HAZI FUNCTION SO MAYBE KUNA SETING FLAN INABID NIZIWEKE SAWA NAOMBA KUELEKEZWA
conect controller right click pes 2018... kisha open file location kisha utakuta file linaitwa settings lifungue kisha nenda controller setting set controller hapo.

pia je hiyo pad pc inaidetect?
 
Nimedownload fifa 16 deluxe edition lkn nikitaka kufanya instalation inadai origin
 
IMG_5749.JPG



Pea 17 halaf nmeweka patch ya 19
 
Kuna patch mpya nzuri san zimetoka mwezi wa sita na saba. But ujipange gb 4+

Ila kuna min patch ya mb 900+ na ni nzuri pia ya viwanja kuongeza mb 900+ pia.
Na kuna score board changer kila ligi inakuwa na score board yake around mb 300.

Zicheki hapa micano4u.org. uzuri patch zote zinakuwa na youtube video tutorials zake kama sio mtaalamu.
izo patch unaziweka vip kwenye game kama unalo
 
Wakuu nna PC HP eny (notebook)
In RAM 16GB
Processor i7 7500U @2.7 @2.9Ghz turbo ni mpaka 3.5Ghz.
Nvidia graphix 940MX
17.3" display touch.
1TB HDD.
Chakushangazaa inastack hata eurotruck... Game lolote lina stack...
Tatizo kuu ni battery huwa inaandika kabla haijawaka kuwa ina low voltage na hii itasababisha poor performance...
Ila hata nikiitoa still ina stack...
Naomben ushaur watabe... Tatizo nn??
Nifanyaje ili nisolve tatzo...
Kama ni window nimebadili mara 3 lakin wap...
Msaada wakuu asee...
 
Wakuu nna PC HP eny (notebook)
In RAM 16GB
Processor i7 7500U @2.7 @2.9Ghz turbo ni mpaka 3.5Ghz.
Nvidia graphix 940MX
17.3" display touch.
1TB HDD.
Chakushangazaa inastack hata eurotruck... Game lolote lina stack...
Tatizo kuu ni battery huwa inaandika kabla haijawaka kuwa ina low voltage na hii itasababisha poor performance...
Ila hata nikiitoa still ina stack...
Naomben ushaur watabe... Tatizo nn??
Nifanyaje ili nisolve tatzo...
Kama ni window nimebadili mara 3 lakin wap...
Msaada wakuu asee...
Driver mkuu,hasa huko kudownload windows mara kwa mara ndio kabisa unazitoa.

Unaweza nitajia full model ya Hio Hp envy? Cheki kwenye kitako cha laptop huwa wanaandika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom