PES 2012 kabla 2013 haijatoka (lol!) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PES 2012 kabla 2013 haijatoka (lol!)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by leh, Aug 24, 2012.

 1. leh

  leh JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wakuu by nature am a very cheerful giver. sasa, hapa nilipo nina PES 2012 ambayo nataka nifute as soon as 2013 ikitoka. kabla ya hapo nataka nimpe anybody who wants a copy of it. my only demand ni kuwa uwe na PC inaweza play on it (nitahitaji kuvalidate before nikupe coz mie kama windows siku hizi :biggrin: :biggrin: :biggrin: ). pia kama una PES 2012, I have something for you. kwa kuwa mie ni mpenzi mno wa gaming nimekuwa nikidownload patches za kufanya PES 2012 iwe tamu zaidi. mfano, mtu yeyote achezaye PES na FIFA atakuambia tofauti kubwa kati ya hizi mbili ni kuwa FIFA ni licensed kutumia ALL CLUBS & TEAMS names and players and stadiums names. kwa konami, story nyingine tena. mimi hapa nimedownload patch ya kufanya clubs in PES ziwe na majina right mfano my fav. club chelsea inaitwa London FC, Arsenal nao North London FC na zinginezo. nimedownload patch za kuipa PES mngao zaidi, za viatu, za viwanja and so on. nina zaidi ya 3gb of patches so kama una PES 2012, nicheck pia.
  thats all wakuu, if u are in arusha and are interested, ni PM, and for those in dar, mwezi wa kumi nikirudi chuo tutafutane.
  peace out leh
  [​IMG]


  for now nawapa screenshots za MY PES 2012 not from the internet lakini personal screenshots
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Aisee ndugu mkuu leh, hiyo ni lap au desk top. na uwezo wake ukoje?
  ukirudi chuo, a-town mpaka lini tena?
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  maybe npo nje ya mada mi nnayo hiyo pes ila nna tatizo moja nkitoa pasi haimfikii mtu mguun hasa kule kwa ma foward. kuna option ya kubadili? Maana nimeisaka game nzima haikubali.

  Ndo mana hadi leo natumia pes 4 ya 2004 ambayo nikibonyeza tu pass inafika mguun.

  Then hizo ni patch huna app za moding mfano nichange wachezaji badala ya kuvaa jezi wavae nguo za kimasai
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Endangered laptop ya Core i5-2410M 2.30 GHz, 4gb RAM, na video card ya ATI Radeon HD5450. inaonekana nzuri coz nimeweka video settings high na resolution ya 1600 x 900.
  kama laptop yako au desktop haina discrete video card (yaani gpu ya ATI au Nvidia) inabidi ushushe graphics settings ili game iwe na fps za kutosha. nipe specs za mashine yako nitakwambia wat kind of settings utapata
  hapa mi nilipo ninaunganisha pad ya xbox360 na hdmi connection kwenda into my dads big arse tv, utanitaka tena :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  chief-mkwawa, wamebadili system ya passing, mwenyewe ilinyichosha sana siku za mwanzo nikataka kuitupilia mbali. wamefanya hivi: holding direction keys+pass= manual pass *ukitaka automatic passes kama tulivozoea kwa PES za zamani point direction ya mchezaji unataka kumpa pass then release direction buttons*. while haifanyi kazi 100% of the time (unakuta kagawa pass kwingine *damn u konami* :biggrin: ) utakuta kwamba passing accuracy inapanda mno na unaweza cheza


  kuhusu jersey za kimasai :biggrin: :biggrin: sijui kama kuna uwezo. nina PES editor ila sijaona jinsi ya kubadili jersey, ila nitafanya utafiti. link ya hio editor sikumbuki but nitakupa b4 end of the day
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. KML

  KML JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kaka mi naiitaji mno ila mwezi wa kumi mbali tunafanyaje sasa apo
  mi nilikua bado nyuma na fiffa mtu wangu
   
 7. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  mimi ninayo pes 2011 mpk leo hii so bad pes 2012 kwangu inaktaa kucheza inaniambia the dynamic library rld failed to load plz confirf that the 1)the file ws copied over the same folder as the cracked executable2)the antivirus software is not false detecting the file in which case white-list flder/filesasa hapo sijui tatizo nini ila najisikia vibaya sana kutokuwa nayo pes 2012 kuweza kuichezea soanabaki nacheza fifa tu though it is not my favourite footbal game nainstallation nimefanya sawasawqa kama nilivyoinstall pes2011 ila ndio inaniambia hivyo na comp yau ina uwezo wa kuirun hiyo game ina duo processoor ram gb 4 na hdd 320 ni sony vaio
   
 8. leh

  leh JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mwezi wa kumi mbona sio mbali, mwezi mmoja tu nije. ila kama una net ya speed nzuri naweza kukupa link ya PES (6+gb)
   
 9. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  teh teh teh, sipati picha ulivyokoa macho hapo. (is that an LED TV?)
  Kilaptop changu nilikiacha dar baada ya kuzimia, sasa sina windows, najipanga nin'gamue brand gani in two months time.
  Lakini kwa office nina iMac, 27" 2.7 GHz Intel Core i5, 4GB 1333 MHz DDR3, AMD Radeon HD 6770M 512 MB.
   
 10. leh

  leh JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  KAH!! imac ya i5? nimekufa ni wivu!! ++respect Endangered
  ukinunua laptop mpya kuna mambo mawili matatu unatakiwa ucheck ukinunua, mojawapo ikiwa ni gpu (graphics processing unit). i say mkuu, kama utaenda kununua laptop Dar nikiwa huko naomba sana sana u carry me along. nitajilipia mpaka nauli :biggrin: :biggrin:
  kuhusu macho yangu, we acha tu. saa hivi naumwa ile mbaya (yes its a LED tv). ukihesabu kuna games kibao kama nfs: Shift, sf4 X tekken, burnout paradise, elder scrolls v ninazo na nimepata pad tamu ya xbox + tv, siachi kucheza mpaka niwe kipofu au mwezi wa kumi uje *whichever comes first* :biggrin:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. leh

  leh JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  i) una antivirus kwa computer yako? ujue kuwa antivirus nyingi zinatafuna cracks

  ii) crack unaweka mwenyewe au game inakuja fully cracked, instruction zake ziko je?
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  mi sometime mpaka zinanchanganya mi mashine yangu ina 1.6ghz amd e350 ram 3gb na vram 386mb na game kama pes na fifa nacheza zote kwa resolution kubwa bila wasiwasi.

  Mi naona kama namba hazisaidii kwenye nguvu ya processor bali aina ya processor na mda iliyotoka
   
 13. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mh! Hapo drogba, esieni na ob4 mikel ndo watapendeza ila kna lampad..?
   
 14. a

  axel fowly Senior Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu leh nipo chuga na nina acer 3GB ram, AMD Athlon 64 processor TF-20 (1.6GHz),ATI Radion HD3200 Graphics up to 1408MB hypermemory...mkuu hizi specs zipo compatible maana naitamani hiyo kitu vibaya..
   
 15. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ok PES 2012 nitakucheki mwezi wa kumi.. Vipi FIFA 2012 kuna mdau yeyote anayo waungwana?
   
 16. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  VP KUhusu G.T.A jamani lile game cpatii picha tamu du ukiachana na vice city na san adreas na gta 4 vp G.T.A 5 limetoka.
   
 17. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  halipo litakubali tuuuuuu,
   
 18. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  teh teh teh, pamoja mkuu.
  sijajua hata nitanunua brand gani na wapi, though kuna baadhi ya vifaa naona atown ni cheap kuliko dar.
  but in two months time, najua nitakuwa na option nzuri zaidi. Na ikiwa huko, hiyo nauli usjali, tutavizia staff bus.. teh teh.

  hivi ukiwa chuo nani mwingine anafanya fujo home kama wewe? au TV nayo itafurahi kupata likizo :biggrin:, lol!
  maana sipati picha all those games na controller mkononi + eyes wide open stared to the screen.
   
 19. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  antivirus ninayo sasa mbona magame mengine yanacheza kama vile fifa 12 ana pes 11 ana hayajaliwa na virus au labda installation za pes 12 na tofauti na pes11 gamee inakja iko full cracked
   
 20. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  kaka una game la gta lolote maana mimi sina kabisa hilo game just nina ma game ya mpira na magari tu
   
Loading...