PES 2012 kabla 2013 haijatoka (lol!)

PES 2012 kabla 2013 haijatoka (lol!)

mi sometime mpaka zinanchanganya mi mashine yangu ina 1.6ghz amd e350 ram 3gb na vram 386mb na game kama pes na fifa nacheza zote kwa resolution kubwa bila wasiwasi.

Mi naona kama namba hazisaidii kwenye nguvu ya processor bali aina ya processor na mda iliyotoka
hata hivo processor almost zote ambazo zipo after duo core zinapiga shughuli the same. difference is almost negligeble. shida inakuwa sana sana kwa gpu (graphics processing unit), rpm ya hdd (which is why desktops will ALWAYS be better than laptops) na speed ya RAM.

ila tukifika kucheza hd quality gaming, a good processor is a must
 
Mkuu leh nipo chuga na nina acer 3GB ram, AMD Athlon 64 processor TF-20 (1.6GHz),ATI Radion HD3200 Graphics up to 1408MB hypermemory...mkuu hizi specs zipo compatible maana naitamani hiyo kitu vibaya..

inafaa kabisa, nitakupm contacts zangu tuwasiliane nikuletee wap
 
VP KUhusu G.T.A jamani lile game cpatii picha tamu du ukiachana na vice city na san adreas na gta 4 vp G.T.A 5 limetoka.

gta 5 naskia demo tayari ila game mtasubiri kidogo. gta IV ninayo huku somewhere I think coz nakumbuka nilidownload for one of my cousins. sikuicheza mwenyewe ( mi sio fan wa gta tangu mwanzo). kama sitaipata I'll download it for u usihofu
 
Back
Top Bottom