Pes 17

Pes 17

ommy clear

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
214
Reaction score
58
Sorry waungwana nimeweka pes 17 kwenye PC yangu lakini kila nikitaka kulifungua linadaiwa Mara dx3-dill nikaidownload likawa linadai driver nyingine nikaidownload , bado linadai nyingine tena naomba mwenye kujua ni driver gani au ni kitu gani nidownload ili ki-fix hili tatizo? Manake nimedownload direct x lakin bado so naomben mawazo wenu
 
Game nyingi za ku download zinazingua kwenye installation my take tafuta mtu mwenye setup za hilo game akupee otherwise subir wataalam kama wapo watakuja.
 
Game nyingi za ku download zinazingua kwenye installation my take tafuta mtu mwenye setup za hilo game akupee otherwise subir wataalam kama wapo watakuja.
Okay poa mkuu
 
Saivi inaniandikia ivoo nifanyaje nimehangaika adi basi
IMG_20190810_122800.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom